Wasichana ni kama mti wa ma-apple

Wasichana ni kama mti wa ma-apple

D 007

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2012
Posts
206
Reaction score
147

Wasichana ni kama Ma-Apple yaliyo juu ya mti,yale Ma-Apple mazuri huwa yanakaa juu sana karibu na kilele kabisa,yale mabaya yananing'inia karibu karibu...Wanaume wanaona kupanda hadi juu kule sio ishu,wanachuma haya yanayoning'inia karibu na chini coz hayahitaji hustle ya kukwea mti,ya nini uvunjike kiuno bure kusaka Apple lilio kileleni..

Yale Ma-Apple yaliyo j...
uu yanaanza kupata Maswali,Stress,Lo...neliness,kwanini wao hawatunguliwi?wana matatizo gani?wanakosa raha,kumbe hawana matatizo,matatizo ni ya wanaume wamezoea kutungua vilivyo karibu karibu...
Mwisho wa siku yale Ma-Apple yanaiva weeee huku yana Stress yanaanguka chini maskini,yanakumbana na Mbwa na Mapaka Shume,hayakuwa hata na habari kwamba yamekaa chini ya mu-Apple,yanalamba,yanakula burebure!

Je, wewe ni Apple la juu au la kuning'inia???Wanawake wazuri huangukia wanaume Wabaya na Ma-Player kwa kushindwa kuvumilia,Wanaume wazuri siku zote huchelewa,wana mapozi,hawataki kupopoa mapema hadi uive na jua...Kazi ni kwako.....
srce
 
Shida nyingine ma apple ya juu mengi wajanja wanayala huko huko juu ya mti hawashuki nayo kuyapeleka nyumbani kwasababu ya gharama ya umeme kuyatunza kwenye friji nyumbani.
 
Hao walioko juu,,umenikumbusha Walevi wawili ambao waliona embe juu ya mti,,wakaanza kuponda kwa mawe wayaangue.Kila wakijaribu wanakwama,kila wakijaribu wanakwama,
Basi wakakubaliana mmoja apande aangalie kama yameiva au mabichi
Mlevi akapanda,,baada ya muda kashuka kamwambia mwenzake YAMEIVA TUENDELEE TU KUPÖNDA.
::
Sasa hata hao wanaojifanya high class,wazuri Wanaishia kupondwa na jamii hadi wanaisha thamani.
=
 

Wasichana ni kama Ma-Apple yaliyo juu ya mti,yale Ma-Apple mazuri huwa yanakaa juu sana karibu na kilele kabisa,yale mabaya yananing'inia karibu karibu...Wanaume wanaona kupanda hadi juu kule sio ishu,wanachuma haya yanayoning'inia karibu na chini coz hayahitaji hustle ya kukwea mti,ya nini uvunjike kiuno bure kusaka Apple lilio kileleni..

Yale Ma-Apple yaliyo j...
uu yanaanza kupata Maswali,Stress,Lo...neliness,kwanini wao hawatunguliwi?wana matatizo gani?wanakosa raha,kumbe hawana matatizo,matatizo ni ya wanaume wamezoea kutungua vilivyo karibu karibu...
Mwisho wa siku yale Ma-Apple yanaiva weeee huku yana Stress yanaanguka chini maskini,yanakumbana na Mbwa na Mapaka Shume,hayakuwa hata na habari kwamba yamekaa chini ya mu-Apple,yanalamba,yanakula burebure!

Je, wewe ni Apple la juu au la kuning'inia???Wanawake wazuri huangukia wanaume Wabaya na Ma-Player kwa kushindwa kuvumilia,Wanaume wazuri siku zote huchelewa,wana mapozi,hawataki kupopoa mapema hadi uive na jua...Kazi ni kwako.....
srce
Tena haya ya kuning'inia yanachumwa machanga na wakati mwingine yakiwa mabichi.
 
Mhh hii hadithi ni nzuri sana na funzo lake liko wazi kabisa.
Wakaka mjitahidi hata ma-apple yaliko juu kabisa mtini ni matamu pia.., msipende ya chini tu yaliyorahisi kuchuma na KUMEGA!
 
hahahaaaaa aisee !nimecheka sana.sijui nitadondokea wapi mie
 

Wasichana ni kama Ma-Apple yaliyo juu ya mti,yale Ma-Apple mazuri huwa yanakaa juu sana karibu na kilele kabisa,yale mabaya yananing'inia karibu karibu...Wanaume wanaona kupanda hadi juu kule sio ishu,wanachuma haya yanayoning'inia karibu na chini coz hayahitaji hustle ya kukwea mti,ya nini uvunjike kiuno bure kusaka Apple lilio kileleni..

Yale Ma-Apple yaliyo j...
uu yanaanza kupata Maswali,Stress,Lo...neliness,kwanini wao hawatunguliwi?wana matatizo gani?wanakosa raha,kumbe hawana matatizo,matatizo ni ya wanaume wamezoea kutungua vilivyo karibu karibu...
Mwisho wa siku yale Ma-Apple yanaiva weeee huku yana Stress yanaanguka chini maskini,yanakumbana na Mbwa na Mapaka Shume,hayakuwa hata na habari kwamba yamekaa chini ya mu-Apple,yanalamba,yanakula burebure!

Je, wewe ni Apple la juu au la kuning'inia???Wanawake wazuri huangukia wanaume Wabaya na Ma-Player kwa kushindwa kuvumilia,Wanaume wazuri siku zote huchelewa,wana mapozi,hawataki kupopoa mapema hadi uive na jua...Kazi ni kwako.....
srce
Tehe tehe [emoji23] [emoji23]
 
Hayo yanayoning'inia chini chini wanafunzi hasa wa shule ya msingi wanayapopoa mengine hata bado hayajakomaa
 
Back
Top Bottom