Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Vipi wakuu kwema? Mimi wiki hii kwenye ijumaa au jamamosi nitaelekea arusha name beni mniombee nifike salama, nikiwa Kyle nitahitaji kumpata msichana hasa hawa wanaojiita waarusha kati ya 23- 25...
2 Reactions
61 Replies
7K Views
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Wakuu I found this interesting: I must have missed the declaration of war on pubic hair. It must have happened sometime in the last decade because the amount of time, energy, money and emotion...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Zamani ilikua mtu akipata VVU anakondeana na watu kuwaaogopa but now imekua tofauti kabisa huwezi jua yupi mzima yupi mgonjwa, kuna tetesi kuwa kwa mwanamke akitumia hizi ARVs zikimpenda anakua na...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
BIKIRA IMEKUWA NONGWA HUKO ZANZIBAR…….WAZAZI WAWACHUNGUZA WATOTO WAO KWA NGUVU… Dk Marijani Msafiri amesema asilimia 80 ya watoto wa kike wanaoletwa kituoni hapo na wazazi wao , wanafikishwa...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Hakuna kitu kinauma kama umkute X wako kapendeza sana tofauti na ulivyomuacha. Unamkuta amefanikiwa kinoma. Ukimuangalia unamuona kabisa maisha kashayapatia. Na pia hakuna raha unapata kama...
6 Reactions
11 Replies
1K Views
Bila ajizi, ni ukweli kuwa;.... Wamekwisha zoea (wale pale) kusema sema ya watu Yakwao hawayaoni kazi kusema ya watuu.... Basi leo nawaambia, maneno yao sikitu, watabaki hivyohivyo ya kwangu...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Niko hapa natafakari haya mambo mawili,ingekua ndio wewe mwana MMU,ungechagua kipi hapo?
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Baba mwenyenyumba alipata mpangaji, kijana aliyetokea kijijini kwenda kutafuta maisha. Msimu ule alivuna mahindi na mihogo, aliuza vyakula vile na kujifungasha na pesa aliyoipata akiwa amechoka...
5 Reactions
20 Replies
5K Views
Kusema ukweli siku ya leo imeisha vizuri sana. Huyo mdada, Michelle B, kanichekesha mno leo. Sijacheka hivi kwa muda mrefu sana kama nilivyocheka leo. Michelle mwenyewe ni mke wa mtu. Amekuwepo...
1 Reactions
43 Replies
5K Views
Habari zenu, Baba yangu mkubwa anawatoto sita wanne wameajiriwa wanafanya kazi zao serekalini,shida inakuja pale ambapo huyu mzee kuwatukana watoto wake hawa matusi yanguoni mbele ya mama yao...
0 Reactions
57 Replies
7K Views
Habari ndugu zangu! sorry,hivi time frame ya wapenzi kununiana huwa ni siku ngapi?sababu week mbili sasa zinakatika mwenzangu bado kanuna,me namtafuta daily lakini yeye hapokei simu zangu wala...
2 Reactions
29 Replies
6K Views
N/A This is removed by the owner of the site
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Napenda wanaume wakisukuma sana wanaupendo wa dhati, nimeshudia tu kwa rafiki yangu, mpaka nimetamani. WASUKUMA HONGERENI KWAKWELI.
12 Reactions
143 Replies
27K Views
Usiku wa leo sidhani kama nitalala vizuri kwa kweli maana nimeumbuka si kidogo mtoto wa kiume. Nina rafiki yangu ambaye ana mpenzi wake ambaye najuana nae pia. Kuna habari moja hivi ambayo jamaa...
11 Reactions
156 Replies
21K Views
Wadada mnajitahidi kupendeza katika vivazi vyenu vinavyoonyesha maungo yenu kwa hilo tunafurahi, binafsi ningependa mtembee uchi nifaidike zaidi tatizo nikiwaona ndugu zangu nakereka sana. JARIBU...
12 Reactions
130 Replies
11K Views
Jaman tubadilike,nani amekwambia wanaume tunataka kuoa wanawake wa aina hii? Mdada kupost picha tuuuu mchana usiku mara kavaa gauni hili mara wigi lile mara sketi na t-shirt. Hivi hakuna kitu...
2 Reactions
44 Replies
3K Views
Yani imekuwa ni kero,unakuta msichana unamtongoza mchana na anakubali, ila cha kushangaza wewe mwanaume kabla hujaomba tunda ila yeye unakuta usiku anakupiga mzinga,utasikia naomba vocha,mara...
10 Reactions
124 Replies
12K Views
Inapofikia hatua mke wako wandoa anakuambia kuwa anapokuwa katika mihangaiko yake huwa anatongozwa sana, je hapo kuna usalama kweli wana jf? Nisaidieni.
3 Reactions
142 Replies
20K Views
Kiukweli nakupenda na kitufe cha mapendo ndo kimewaka sijui kitazima saa ngapi... Huninyunyiziaye majiiii .....wakatiiii wa ukameeee Huwachiiii ninyaukeeeeee Ooooh naaakupendaaa .... nakupendaa...
5 Reactions
11 Replies
3K Views
Back
Top Bottom