Siku ya kwanza ulipoambiwa na mpenzi wako mimi na wewe basi ulijisikiaje?

Mkulima na Mfugaji

JF-Expert Member
Jul 26, 2013
1,013
1,634
Wadau habari za Mwaka mpya natumaini mu wazima wa Afya.

Nafikiri wengi wetu ni wahanga wa mapenzi na tuna majeraha ya mapenzi.

Tujadiliane je siku ulipoambiwa na mpenzi wako uliempenda kwa dhati kwamba mimi na wewe basi ulijisikiaje?

Mimi nakumbuka siku hiyo sikulala Usiku kucha,kwani tulikuwa tumepanga mengi mimi na mwenzangu kwa kweli nilijisikia vibaya.
 
Duuu pole sana mimi namshukur Mungu nilipoambiwa I love u mama nimpaka napigiwa talumbeta sijui hayo maumivu. Ila nilishuhudia kwa dada yangu ilikua ni shidaa alipata matatizo ya moyo mpaka sas ana preshaya kushuka.
Wadau habari za mwaka mpya.natumaini muwazima wa afya.
Nafikiri wengi wetu ni wahanga wa mapenzi na tuna majeraha ya mapenzi.
Tujadiliane je siku ulipoambiwa na mpenzi wako uliempenda kwa dhati kwamba mimi na wewe basi ulijisikiaje?Mimi nakumbaka siku hiyo sikulala usiku kucha kwani tulikuwa tumepanga mengi mimi na mwenzangu kwa kweli nilijisikia vibaya.
 
Duuu pole sana mimi namshukur Mungu nilipoambiwa I love u mama nimpaka napigiwa talumbeta sijui hayo maumivu. Ila nilishuhudia kwa dada yangu ilikua ni shidaa alipata matatizo ya moyo mpaka sas ana preshaya kushuka.

duh.... kwahyo huyo ndo wa kwanza kwa kila k2, mweh unabahati.....
 
Sijawahi kuacha wala sijawahi kuachwa! kwani sababu zipi za msingi hasi zitakazo nifanya nimwache? aki cheat nitamsamehe atakae ila hataweza kuimaliza hapo! kizuri kula na nduguyo
 
Duuu pole sana mimi namshukur Mungu nilipoambiwa I love u mama nimpaka napigiwa talumbeta sijui hayo maumivu. Ila nilishuhudia kwa dada yangu ilikua ni shidaa alipata matatizo ya moyo mpaka sas ana preshaya kushuka.

Hongera sana mkuu...
 
Wadau habari za mwaka mpya natumaini mu wazima wa afya.

Nafikiri wengi wetu ni wahanga wa mapenzi na tuna majeraha ya mapenzi.

Tujadiliane je siku ulipoambiwa na mpenzi wako uliempenda kwa dhati kwamba mimi na wewe basi ulijisikiaje?

Mimi nakumbaka siku hiyo sikulala usiku kucha kwani tulikuwa tumepanga mengi mimi na mwenzangu kwa kweli nilijisikia vibaya.

walasikushtuka fasta niliwaza demu gan rahis kumpata kabla sijatafuta dem mwingine wa pamanent
 
Sijawahi kuacha wala sijawahi kuachwa! kwani sababu zipi za msingi hasi zitakazo nifanya nimwache? aki cheat nitamsamehe atakae ila hataweza kuimaliza hapo! kizuri kula na nduguyo

Kama usemayo yanatoka moyoni(kweli), basi uko strong kishenzi na life kwako ni easy, wapo watu wachache kama wewe.

=>Hivi wajuzi wa mambo,hii ni normal kwa mwanaume kutokuwa na wivu?
 
Back
Top Bottom