Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Katika harakati za kutafuta kazi nilibahatika kufika ofisi moja maeneo ya Mwenge (Dar es salaam) kwangu ilikua faraja kubwa sababu kiukweli nilikua nahangaika sana na hali ya ugumu wa maisha na...
12 Reactions
162 Replies
17K Views
Wanawake wamepewa uwezo wa kuwaelewa wanaume tena kwa haraka hata pale mnapokutana kwa Mara ya kwanza tuu! Kabla hujaonyesha au kutamka neno, mwanamke huwa tayari amejua na huwa anasubiria muda...
0 Reactions
32 Replies
5K Views
Wanaume wanapooa huwa wanawapenda wake zao zao kiukweli ndio maana huwa wanawahudumia kwa kila hali. Lakini ikitokea mwanaume akichepuka ni kwa ajili ya ngono tu kisha anarudisha upendo kwa mkewe...
23 Reactions
65 Replies
9K Views
*MAMA MKWE* [emoji101] _Ilikuwa wakati wa mchana ambapo mume alirejea nyumbani akiwa na habari mbaya._ *MUME:* _Mpenzi, nimepigiwa simu: Mama hajisikii vizuri. Tunaweza kwenda kumnunulia baadhi...
8 Reactions
52 Replies
3K Views
Nimebahatika kuishi North America kwa zaidi ya miongo 2,nimeshuhudia wakristo wakiachana leo na kuolewa/kuoa kesho yake hata mara kumi. Swali ni kua hao si wakristo? Kwani Huku Tanzania pekee...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Maneno ya hasira na dharau kwa mwenza wangu yana nipa wakati mgumu haeleweki kama bado kiakili yupo na mimi au ana mbadala tayari, nipo njiapanda nifanyeje kama yamewafika. Ushauri tafadhali.
2 Reactions
13 Replies
5K Views
Habari zenu, Mimi ni kijana wa miaka 22 nina tatizo moja, am so poor in socialization, nikienda mahali nakua mkimya sana hadi niwazoee sana ndo nitaanza kuchangamka, tatizo hili limefanya baadhi...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Artist: MWANA FA Song: DUME SURUALI Hudat hudat hii ni salam na ufahamu Kama unauza mapenzi sio kwa binam Hakuna haja ya kusubiri hii ni hukumu Hakuna kitu utapata utangoja kama askari wa zamu...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu naomba mchango wenu wa mawazo kwani nataka kufanya maamuzi nadhani muhimu sana. Dada mtu tunasoma nae mwaka wa tatu sasa na kwa kweli kwa maoni yangu dada kakamilika sana yaani vitu vyote...
1 Reactions
83 Replies
7K Views
Wakuu, Naombeni ushauri, KARIBU KWA USHAURI WENU
1 Reactions
44 Replies
4K Views
Habari wakuu, Naomba tu kujuzwa, bado kuna wanaume ambao wanapenda mpaka wanalia kabisa?
3 Reactions
51 Replies
5K Views
Leo nimefikiria, huu mchezo wa kumchezea simba sharubu tunaoufanya hivi siku ikitokea tumeng'atwa inakuwaje. Ningependa kujua position ya jinsia zote mbili yaani me na ke. Na walio wahi kufikwa na...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nilipomaliza form six alitokea bint mmoja ambae at that time alikua amemaliza form four akawa amenipenda sana ofcoz nilimpenda sana lkn badaee nikaja nikahis kama bado mdogo nikamwambia kama vp...
2 Reactions
45 Replies
4K Views
Nimekuta hii kwenye mtandao watu maarufu walio wahi kuoa mabinamu zao Albert Einstein na Charles Darwin pia wamo imenishangaza kidogo niko curious na hili,why wanasayansi maarufu kama wao wali...
1 Reactions
46 Replies
6K Views
Namshukuru Mungu nimepata rafiki wa kike mtu mzima mwenzangu japo kanipita almost 10 yrs. Ni mdada mzuri ana roho nzuri kweli kweli tunakula bata sana tu mpaka shetani anaona wivu, outing, shoping...
2 Reactions
31 Replies
3K Views
Mume alirejea nyumbani na kukuta ujumbe juu ya meza umeandikwa "NIMEONDOKA" ilikuwa jioni, alienda jikoni na kukuta kukavu, aliwaita watoto na kuwauliza wakasema walimuona Mama akiondoka na begi...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu wa MMU Salaam! Kwenye Kitongoji ninachoishi yupo Bwana mmoja, Meneja wa shirika la uuma aliyeoa hivi karibuni. Mwanamwali aliyeolewa alihamia kwa mumewe akiwa na watoto wawili, wa kike na...
1 Reactions
45 Replies
6K Views
Mimi sikukatazi kutumia mwili wako kama kitega uchumi. Sikukatazi kulala na wanaume kwaajili ya pesa, mavazi, vipodozi na hata magari. Lala na kila mwanaume unayemwona mbele yako. Endelea tu...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Ukiongea na wachepukaji lazima watakushuhudia kuwa huko mchepikoni kuna raha na furaha fulani, No stress, Satisfaction na eti wana-enjoy sana to the Uhuru Peak. Na mbaya zaidi hili hasa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…