ragin
JF-Expert Member
- Feb 9, 2015
- 7,391
- 9,387
Nawasalimu nyote.
Naomba kila mtu afunguke juu ya utofauti wa DEMU na MPENZI (ke) au mke nia yangu kuelewa wasifu wa wote hao ili nijitambue nipo site ipi.
Wanaume wengi wanatabia ya kumtaja mpenzi wake (jina la demu) ilihali mimi naona ni dharau na kuzaririshana tu, isitoshe anaetamka neno demu wakati ni mpenzi/mke wake huwa na mzarau sana nakuhisi huenda bangi zinamsumbua anajisahau (mnisamehe kama mmekwazika walengwa).
Sasa leo nijuzeni utofauti wa haya majina.