Happy birthday dada yetu mpenzi

Beauty Eva

Senior Member
Jul 22, 2016
131
374
FB_IMG_1479442472051.jpg
Happy birthday dada yetu. Mungu akuzidishie furaha na heri nyingi katika maisha yako.

Dada yetu, tunakupenda na tunakuthamini sana.

View attachment 436454
 
Watu wengine aise yaani Dada yake kapata mume unatuma FB, kweli Netanyahu alisema black people ni watumwa wa wazungu
 
View attachment 436457 Happy birthday dada yetu. Mungu akuzidishie furaha na heri nyingi katika maisha yako.

Dada yetu, tunakupenda na tunakuthamini sana.

View attachment 436454
Akili ya wanawake wanaijua wenyewe,!

amekaa ajafikiria afanyeje, akaona atuoneshe aina ya visuko alivyosukwa kwa kusingizia sherehe ya huzaliwa.
Nimesoma psychology ya wanawake kwa takribani miaka 9, so nawajua vilivyo.

samahani kwa kuingia jukwaa hili leo
 
kuna misuko ya kuonyesha lakini sio aina hio alidhamiria kumtakia kheri sista ake
 
Nahisi kama huyu dada yake yupo single ndio maana amemuweka huku kwenye jukwaa la mahusiano ili wenye macho wamuone.

Changamkia fursa hiyo mkuu usije sema sijakwambia.
Ha ha ha h asante sana mkuu ngoja niende nkachek nae vzur dodo linaweza kuwwpo chin ya muarobaini
 
Hawa ndo wale wa kuwapiga deki mpaka kwny engine Dadaako mzuriii utafikiri akienda haja anatoa vanila cake
 
Akili ya wanawake wanaijua wenyewe,!

amekaa ajafikiria afanyeje, akaona atuoneshe aina ya visuko alivyosukwa kwa kusingizia sherehe ya huzaliwa.
Nimesoma psychology ya wanawake kwa takribani miaka 9, so nawajua vilivyo.

samahani kwa kuingia jukwaa hili leo
Psychology uliyosoma(kama kweli ila) ni buree kabisaa
Fanya urudie kuisoma upyaaa

Ivyo visuko wala haviko katika fashion(sio vipya) kiasi cha yeye kupost ili tuone

It cost nothing kumuwish mtu kama ni birthday yake ama lah!
Stop hating mkuu

Ila karibu tena katika jukwaa

BTW happy birthday dada yetu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom