Zachason
Member
- Dec 20, 2014
- 51
- 7
Jamani nombeni tumpe huyu ndugu yetu ushauri.
Nilikuwa na mchumba niliyempenda na kuahidiana kuwa nae muda kidogo baada ya kumaliza masomo yangu ya chuoni, nilimpata miezi 2 kabla sijaondoka. Kiukweli tulikua tukiwasiliana nae kwa muda niliokuwa free.
Hatimaye nilirudi likizo nikawa nimekutana nae japo jins nilivyo mwacha nilimkuta kabadika kimwili, baadae niliamua kukaa chini nimwulize ukwel wa maisha niliyo mwacha nayo, kiukweli alishindwa kua mkweli, nilitumia nguvu kubwa ndo ikabidi anambie yalio tokea "Kiukweli naomba unisamehe, nilijikuta nimeanguka na kulala na fulani, fulani na fulani''.
Nilikuwa nampenda sana, sikuwa tayari kumwacha, niliumia na kusamehe japo kilikuwa kidonda changu cha kwanza. Wakati wote wa masomo sina amani nikifikilia aina ya mtu aliyelala nae, siku za baadae tulingia kwenye mahusiano hatimae ndoa.
Ila kile kidonda na ule usaliti nimeshindwa kusahau, hata napokumbuka hamu ya kukutana nae haipo, maana nilimpata akiwa mbichi (bikira), leo nakuta wengine wamemvunja.
Sina raha na ndoa yangu, muda mwingne nashindwa cha kufanya na ndio miezi 3, ya ndoa.
Naomba unisaidie cha kufanya.
Ahsante.