FUNDI CHEREHANI
KIJAKAZI WA KIUME
Sehemu Ya 51....(.9.)
Mtunzi..... MoonBoy
Simu No. +255714419487 WhatsApp
Ilipoishia Jana →↓↓
Asnati alikurupuka na kuelekea chumbani kwangu huku mimi...
Ni msichana mdogo ndo kwanza ametimiza miaka 18 mwaka huu, tunamchukulia Kama mdogo wetu kwenye familia.
Alivyomaliza darasa la Saba huko mkoani kwao aliamua kuja mjini kutafuta Maisha, katika...
Tatizo la ubakaji linazidi kukua kila siku watoto wenye umri mdogo wanabakwa na watu wazima tatizo huwa ni nini ? [emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17] <br />
habar za asubuhi wakuu.
Naomba Tusaidianeni mawazo katika hili,
wengi huwa tunaachwa katika wakati mgumu Sana na mazingira magumu,ikiwemo kashfa dharau kejeli,
kwanini Tusiachane kimya kimya...
Mwanamke ni kama kunguru hafugiki, mwanmkehata umufanyie nini sio wa kumwamini hawana shukurani hawafai hawana utu ni wauaji. Baaada ya kumpenda housegirl wangu na kumtunza kwa kumthamini sikujua...
Kila nikilala mwaJ huwa anapekua simu yangu.
Nikishtuka na kumkuta na simu yangu huwa anasema anaperuzi internet,
Lakini nikiwa sijalala huwa haombi simu kwa ajili ya kuperuzi internet...
Vitu 10 Ambavyo Wanawake
Wamewazidi Wanaume...!
1. Wana
Nguo Nyingi Kuliko
Wanaume.
2. Wanafahamu Nani Ni Baba Halisi
Wa Watoto Wao.
3. Ni Wepesi Kupenda Na
Wakipenda Hupenda Kweli.
4...
Kichwa cha habari hapo juu cha husika.
Siku hizi kumekua na mfumo wa wapenzi kuwekana kwenye profile picha kwenye hii mitandao ya kijamii kama ndo kiashiria cha upendo.
Msichana kuweka picha ya...
Leo nimekaa nimewaza na kuwazua wewe umeoa au umeolewa lakini michepuko kwako haikatizi ukitoa vijisababu viiingi mradi tu kujustify kwa nini una michepuko.
Hivi unajisikiaje unaporudi nyumbani...
Hallo Wandugu Wana-JF
Naomba nianze kwa kuheshimu Uhuru wa kila Mtu kupenda kile akipendacho.
Binafsi mimi ni mpenzi sana wa Manukato ya "Issey Miyak"
Ningependa kuuliza, Je kuna aina nyingine...
Nawasalimu wapendwa wote.
Katika jamii tunayoishi wapo watu wengi wapendao kupokea zawadi hata pasipokuwa na jambo la msingi linalohitaji wapewe zawadi hizo.
Nimegundua mara nyingi athari kubwa...
Jamani naomba radhi kwa kurudia topic,ni kwa sababu hii kitu ni sensitive sana,naomba m-share experience zenu cku ya kwanza kutolewa bikra kwa wote men's and women's, haswaaa wanawake ilikuwaje...
Wasalaaaam JF
“Please beb nisamehe tu nimejifunza mengi sintorudia tena beb bado nakupenda kwel, naomba turudiane tuendelee kama zamani”
Hayo hapo juu ni maneno ya ex-girl wangu aliniacha...
Nakumbuka miaka ya nyuma kuna mwanamke nilimpenda sana ila nadhani haikuwa hivyo kwakwe, siku moja kanipigia simu kama kawaida yangu nikapokea haraka bila kuchelewa akanambia anashida kama ya tsh...
Mtu unalizwa kila siku kwenye mapenzi lakini bado unakomaa utadhani wewe
Anodi Shwazenega. Hivi na hali hii tete siku hizi, si
bora ungetafuta ajira hotelini, ukatolewe machozi
kwa kumenya...
Nikiweka password kwenye simu yangu anahisi nimemuwekea yeye, kuna vitu namficha. Japo ameshapekuwa mara kadhaa bila kukuta kitu kibaya
Nikichelewa kurudi nyumbani anahisi nimepitia kwa...
Wakuu hili swali nimeulizwa na rafiki yangu ambaye ni dereva, anasema
alipata mpenzi katika Mji mdogo wa Mahuta ambao uko katika wilaya ya
Tandahimba, Siku moja usiku wa manane akiwa amelala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.