Tujipende, tupende wa ndani na vya ndani

Joined
Nov 20, 2016
Posts
23
Reaction score
14
Nje kunani?

1. Kichwa kinanizunguka kwa kuifikiria nje. Ikiwa nje ya nchi, nje ya nafsi, nyumba au aina yoyote ya nje. Najiuliza swali. Kwa nini wengi wa watu wanapenda vya nje? Kuna nini uko?

2. Tuchukulie mfano kwenye ishu za michezo, burudani Na mavazi. Utamuona kijana anafagilia tasnia zote hizo zilo nje ya nchi yake. Kwa nini? Pengine anapenda japo haelewi kitu. Nilishangaa kumuona mtanzania anasikiza nyimbo ya msanii flani, nyimbo inasema "beby palanga" tena asema anaipenda sana sana sana. Ila haijui ina maana gani.

3. Mume Na mke Nao, wanachepuka. Wanatamani vya nje. Vina tofauti gani Na vya ndani? Vina nini? Huko nje kunani? Pengine ulie nae ni mzuri kuliko wa fulani. Haa! Huko nje wafatani?

4. Kabati LA nyumbani kwa mwanamama Fulani ni zuri mno lakini mwenyewe halithamini. Analionea wivu la jirani yake japo ni dhaifu ukilinganisha na la kwake. Kwa nini iwe hivyo? La nje linani?

5. Hata nguo ya mdada au mkaka fulani ni mzuri, inapendeza. Lakini kwa nini mvaaji haithamini ? aiona hovyo, anaitamani aliovaa fulani hata kama ni dhaifu kilinganisha na yake . lakini haya yote ni kwani?

6 kutokana tabia ya kudharau chako, mwisho hata mwenyewe tajiradhau na utajidhuru. Well, tucheki mfano wa kijana wa chuo anaetegemea boom (mkopo) kuresolve matatizo yake. Utashangaa pesa hio anamfaidisha mdada kwa kumtoa kiasi flani cha fedha. Halaf yeye anabaki dhalili.

7. Kuna haja ya kila mmoja katika sisi aanze kupenda vya ndani. Kufanya hivyo ni kujipenda mwenyewe. Maendeleo pia yataonekana kwa sababu hio.

815ac14847960c7292c1916e999e6809.jpg
 
Mwaulizwa wajameni,mie simo,mie napendaga vya ndani.
 
"Imeandikwa mpende sana jirani yako", hapo ndo chimbuko la kuchungulia vya nje lilipoanzia.
 
WAPI HAPA
 
Back
Top Bottom