Tusipende kujumlisha mambo

Tusipende kujumlisha mambo

MAKA Jr

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2016
Posts
267
Reaction score
209
Dunia hii ni ngumu endapo utaishi kwa kujumlishajumlisha mambo hata ambayo hajumulishiki. Madhara ya kujumlishajumlisha mambo ni kukataa hata yale yasiyokatalika.
 
Ww umevurugwa huko unakuja letea shida watu hapa, hata hueleweki!
 
Tunaumia akili kuelewa Maada za IV. Sijaribu kuwaza nini Ulitaka ndio solution
 
Asanteni wadau. Maswali magumu na yenye mkanganyika ndio hufufua 'Fikra Tunduizi'.
Lazima tufikirie na kuyatatua yaliyo magumu ili tuyapatie ufumbuzi.
 
Ww umevurugwa huko unakuja letea shida watu hapa, hata hueleweki!
Tuko pamoja. Tuyatatue magumu ya maisha yetu. Maisha yamejaa ugumu wa mambo mengi kama lilivyo hili.
 
Ww umevurugwa huko unakuja letea shida watu hapa, hata hueleweki!
Maana yake, watu tunataka kuishi maisha ya zamani wakati hayatakiwi awamu hii ya JPM.
 
Na huo ndio mkanganyiko wenyewe, hata wasiotakiwa kujumlishwa wanajumlishwa pia.
 
Back
Top Bottom