Nioe yupi kati ya hawa, mtundu kitandani au asiyemtundu kitandani?

Baba Kapompo

JF-Expert Member
Sep 11, 2013
1,344
462
Habari wana JF?

Bila shaka wazima.

Kijana wenu/mwenzenu nina tatizo moja sielewi nini cha kufanya
Nilikuwa na mpenzi wangu mmoja tulipendana sana na bado nampenda sana na yeye namsifu anajua kuhandle penzi japo mapenzi yetu yameyumba kidogo kwa sasa.

Matatizo kwa kipindi chote nilichokuwa nae kiukweli (on bed) hawezi kumudu goli tatu katika tendo la ndoa, goli moja tu hataki tena na nikifanya masihara naweza kumalizia na mkono (ny*to), siwezi kulaumu kama tatizo ni yeye au mimi nakawia ku-pees, alafu kuna style ninayoipenda ya kuchuma mboga ambayo niki apply hiyo angalau nawahi kukojoa japo yeye haipendi anadai inamuumiza kizazi.

Navumilia kwa sababu nampenda siku moja nilikaa nikawaza nikasema wacha ni jaribu kutafuta mchepuko nione tatzo nini, kweli nikapata mchepuko nako yakanikuta majanga zaidi japo tofauti na ya yule ambae nampenda, nilikuwa katika majaribio lakini nikajikuta mapenzi yameamia kwake sio siri ni yupo vizuri ila dini tofauti na amenipenda sana alafu nilimdanganya sina mtu na yupo flexible kwa sexy style zote so naenjoy sana nikifanya nae mapenzi nalidhika 100%, nayeye amekubali show yangu kiasi kwamba nayeye beki hazikabi.

Mimi binafsi moyo ukawa umebeba mapenzi ya watu wawili nikiamini hawatokaa wafahamiane na isitoshe wote wakawa wanaupendo wa dhati kiasi cha kuolewa na mimi leo kesho, mwenendo huo hatukumaliza miezi mi3 mpenzi wangu wa awali akagundua kuwa nna mtu mwingine, siku simu yangu ilipigwa usiku wa kama saa tano ikapokelewa na mpenzi wangu (ni kawaida kupokea simu yangu hapo awali tuliaminiana sana kiasi cha kuwa free na simu so nikashindwa kumzuia) akakutana na sauti ya kike ghafla simu ikakata kwa kuchukia kwanini apokee mwanamke then akautuna msg akilalamika sana alaf anatabia ya kuniita mume japo hatujafunga ndoa ,
Ugomvi ukaanza hapo huyu anasema huyu nan anpiga simu usiku na anakuita mume ?

Kiukweli nilikosa majibu coz sipo vizuri kwa kujitetea kwa vitu kama hivyo ila niliyamaliza yakaisha japo hakuwa na imani tena na mimi maana dalili aliziona (mawasiliano yalipungua sana, kukutana hakukuwa kama awali ilivyokuwa hazipiti siku mbili either aje alale kwangu au nikalale kwake kibaya zaid siku akaja kwangu akakuta picha yake nillibandua ukutani bila sababu ya msingi kwake ila nilifanya hivyo ili yule mwingine asigundue lolote inshort nilielemewa na mapenzi yake so sikuwa tayari kuudhi yoyote kati yao maana kila mmoja alikuwa ana nafsi yake katika moyo wangu, mapenzi automatically yalishuka upande mmoja) na huyu mchepuko nikayamaliza akanisamehe.

Sasa nifanyaje waungwana nimejaribu kuifupisha maana visa vingi sana katikati nisiwachoshe ila kiukweli nampenda wa kwanza kwa tabia dini yake isipokuwa mapenzi (kwichikwichi zero) na mchepuko dini tofauti japo yupo radhi kubadili dini na mapenzi anayajua, ila upendo haufikii yule wa kwanza nifanye nini wadau (nata mke wa kuoa katika hao.)

NB; Mitara sitaki japo ni dini yangu inaniruhusu.

Shukrani.
 
Wewe nafsi yako inataka ufanye nini?
Jitoe photocopy. Original ioe wa kwanza, copy ioe wa pili.

Unajichanganya kwa uzinzi halafu unalialia hapa.

You will know that those girls are not meat that you can chew without asking for a toothpick.
 
Ungeleta kqbla hawajashtukiana ungesaidiwa kwa sasa haina maana tena maana umeshaharibu
 
huyo ambaye wote hawafai huyo ambaye huridhiki nae kimapenzi utakuja kumsaliti ukimuoa na huyo dini tofauti nae hafai tena km muislam we mkristo ndo hafai kbs mnk wenzetu kuachana ni kitu cha kawaida ukimletea ujinga anakwambia nipe talaka yangu mie nisepe.....ila ww dumu nao hivyo hivyo ila huyo wa kumbong'olesha please Usimwache au nipe namba yake ,nadhan nothing is sexy like seeng bea onyinye chumaling mboga...
 
weee bana weee ngoja mi nikushauri kitu dogo!

vipi zaidi ya sex hao wanawake wana nini kila mmoja!
lets say A ni yule asoenda na rhythm zako kwa bed na B ni yule anayemudu
WEKA MSTARI KATI ANZA KUMDADAVUA MMOJA BAADA MWINGINE.
af twambie!
tukusaidie ,actually huyo atakayebaki tutapata wa kumpa hapa hapa!
 
Habari wana JF?

Bila shaka wazima.

Kijana wenu/mwenzenu nina tatizo moja sielewi nini cha kufanya
Nilikuwa na mpenzi wangu mmoja tulipendana sana na bado nampenda sana na yeye namsifu anajua kuhandle penzi japo mapenzi yetu yameyumba kidogo kwa sasa.

Matatizo kwa kipindi chote nilichokuwa nae kiukweli (on bed) hawezi kumudu goli tatu katika tendo la ndoa, goli moja tu hataki tena na nikifanya masihara naweza kumalizia na mkono (ny*to), siwezi kulaumu kama tatizo ni yeye au mimi nakawia ku-pees, alafu kuna style ninayoipenda ya kuchuma mboga ambayo niki apply hiyo angalau nawahi kukojoa japo yeye haipendi anadai inamuumiza kizazi.

Navumilia kwa sababu nampenda siku moja nilikaa nikawaza nikasema wacha ni jaribu kutafuta mchepuko nione tatzo nini, kweli nikapata mchepuko nako yakanikuta majanga zaidi japo tofauti na ya yule ambae nampenda, nilikuwa katika majaribio lakini nikajikuta mapenzi yameamia kwake sio siri ni yupo vizuri ila dini tofauti na amenipenda sana alafu nilimdanganya sina mtu na yupo flexible kwa sexy style zote so naenjoy sana nikifanya nae mapenzi nalidhika 100%, nayeye amekubali show yangu kiasi kwamba nayeye beki hazikabi.

Mimi binafsi moyo ukawa umebeba mapenzi ya watu wawili nikiamini hawatokaa wafahamiane na isitoshe wote wakawa wanaupendo wa dhati kiasi cha kuolewa na mimi leo kesho, mwenendo huo hatukumaliza miezi mi3 mpenzi wangu wa awali akagundua kuwa nna mtu mwingine, siku simu yangu ilipigwa usiku wa kama saa tano ikapokelewa na mpenzi wangu (ni kawaida kupokea simu yangu hapo awali tuliaminiana sana kiasi cha kuwa free na simu so nikashindwa kumzuia) akakutana na sauti ya kike ghafla simu ikakata kwa kuchukia kwanini apokee mwanamke then akautuna msg akilalamika sana alaf anatabia ya kuniita mume japo hatujafunga ndoa ,
Ugomvi ukaanza hapo huyu anasema huyu nan anpiga simu usiku na anakuita mume ?

Kiukweli nilikosa majibu coz sipo vizuri kwa kujitetea kwa vitu kama hivyo ila niliyamaliza yakaisha japo hakuwa na imani tena na mimi maana dalili aliziona (mawasiliano yalipungua sana, kukutana hakukuwa kama awali ilivyokuwa hazipiti siku mbili either aje alale kwangu au nikalale kwake kibaya zaid siku akaja kwangu akakuta picha yake nillibandua ukutani bila sababu ya msingi kwake ila nilifanya hivyo ili yule mwingine asigundue lolote inshort nilielemewa na mapenzi yake so sikuwa tayari kuudhi yoyote kati yao maana kila mmoja alikuwa ana nafsi yake katika moyo wangu, mapenzi automatically yalishuka upande mmoja) na huyu mchepuko nikayamaliza akanisamehe.

Sasa nifanyaje waungwana nimejaribu kuifupisha maana visa vingi sana katikati nisiwachoshe ila kiukweli nampenda wa kwanza kwa tabia dini yake isipokuwa mapenzi (kwichikwichi zero) na mchepuko dini tofauti japo yupo radhi kubadili dini na mapenzi anayajua, ila upendo haufikii yule wa kwanza nifanye nini wadau (nata mke wa kuoa katika hao.)

NB; Mitara sitaki japo ni dini yangu inaniruhusu.

Shukrani.
Huyo anayejua kutoa papuchi amefundishwa na nani maan hakuna chuo cha mambo hayo?mfundishe huyo asiyejua hadi ajue!
 
kaizer ndo amwombee wewe akuache kondeni ukifuatilia malisho ya hao kondoo wengine
Ewaaa.... hakika vijana wamepotea kwa kukosa maarifa....

Waleteni kwangu niwafanyie ukaguzi...

Kwamaana wote mtakanipa, sitampoteza hata mmoja.
 
Kama unataka MKE utakaedumu nae, Oa wa Kwanza. Mapenzi ya dhati ni bora kuliko raha ya ngono ya muda. Choose wisely
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom