Nimemuambia mpenzi wangu tufunge ndoa ananiambia tusubiri miaka miwili, umri umesogea

Nyanda lunduma

Senior Member
Apr 10, 2015
187
68
Nimekaa na mahusiano na mpenzi wangu mpaka sasa ni miezi mitano
Ila nimejaribu kumwambia muda wetu wa kukaa pamoja Mimi na yeye
Tufunge ndoa yetu ila majibu ambayo amenipa nisubiri baada ya miaka miwili mbele nikiangalia hata umri wetu nao unaenda
Sijui kama huyu mwanamke yupo pamoja na Mimi
Kwani hata wasiliano yamepungua
Msaada kwenu wakuu.
 
Kama tatizo hili unahitaji msaada toka hapa ndo ujue nini cha kufanya,, basi kuna mengi sana tena mepesi mpenzi ameshaona yamekushinda kuamua, hivyo ameona utakua Mume mzigo.

Komaa akili. Imeandikwa "tuishi na wanawake kwa akili".
 
Mkuu naomba utoe taarifa zaidi
Kwani mahusiano yenu ni vipi
Open or serious(commited)?
Pia una umri wenu au umezeeka..
 
Fanya mambo yako , angalia asije jenga nyumba kupitia wewe alafu baadae akakutema
 
Tulizoea kuona KE ndio wanaolazimisha ndoa, ila leo mamen wanalilia ndoa.......Kweli 50/50 imeshawasili.
 
Wawapi huyo mwanaume kwa sasa ndio wakubembelezwa ili afunge ndoa kama anaona umli wake bado kamata mwingine usawa wenyewe huu unabembeleza ndoa
 
Nimekaa na mahusiano na mpenzi wangu mpaka sasa ni miezi mitano
Ila nimejaribu kumwambia muda wetu wa kukaa pamoja Mimi na yeye
Tufunge ndoa yetu ila majibu ambayo amenipa nisubiri baada ya miaka miwili mbele nikiangalia hata umri wetu nao unaenda
Sijui kama huyu mwanamke yupo pamoja na Mimi
Kwani hata wasiliano yamepungua
Msaada kwenu wakuu.
uyo amewapanga kama nyanya!! anacheki nani the best! especially katika pesa!! anafanya utafiti uyo! wewe jaribu kumcheki alafu njoo uniambie uone kama nakuongopea!
 
Hauna mwanamke hapo sepa huyo ni gold digger utakuja lia kama toto dogo..
Alafu acha kutuaibisha madume hatulili ndoa
 
Back
Top Bottom