Ukweli Mchungu, lakini ukweli lazima usemwe; Ndoa za watu waliooana wote wasomi kwa maana ya wote kila mmoja anakazi yake kwa utafiti wangu mdogo nimegundua kwamba nyingi Hazina furaha kama...
Nimefanya utafiti huu kwa miaka saba.
Si wanawake wote ila asilimia 95 wanawake wa aina hii kwakweli sina hamu nao ni wakorofi kupindukia. Wengi wao hawashauriki na katika mahusiano, nimejikuta...
Nina miaka zaidi ya 25, sjawahi kugegeda kwa sababu Muda mwingi nilikuwa busy na masomo na hivyo nikawa nawaona wanawake kama wamevaa suruali
Hivi sasa nashukuru Mungu nimepata mke ambaye ni...
FUNDI CHEREHANI
KIJAKAZI WA KIUME
Sehemu Ya 52....(.10.)
Mtunzi..... MoonBoy
Simu No. +255714419487 WhatsApp
Ilipoishia Jana →↓↓
"anko usiniogope, nit.... Hata vidole, kwan hua napenda...
Wakuu naombeni ushauri labda unaeza kumbadilisha mama yangu mzazi
Mama kawa ni mtu asiesikia baada ya kuokoka tangu mwaka 1995 huko nyuma alikua sio sana kiasi kwamba hata biashara alikuwa...
Wasalaam Wakuu,
Kama kichwa cha habari kinavyosema, suala la kumtafutia mtoto shule ya kusoma linaweza kuonekana ni la kawaida lakini kwa kweli sivyo ilivyo.
Kwa upande mwingine kweli linaweza...
Nikiwa na miaka 20 hivi nilikutana na jamaa mmoja kwa mara ya kwanza nikasikia kitu cha tofauti ila sikujua kama ndio kupenda. Nikapenda kuwa muda wote karibu yake, jamaa akagundua nadhani ni kwa...
Jamani wengi watanipinga ila Dada zangu wenye umri huu wanakua washafanya mengi. Hapo ana lundo la ma ex waliomfanyia mambo kadhaa wengne hadi kumla 0712, kwa hiyo usipomridhisha au mkigombana...
Wasaalam wadau!
Nimeona niliweke wazi hili swala ili niweze kupata mtazamo na ushauri wa wadau.
Ni hivi nilipomaliza degree yangu mwaka jana katika chuo fulani nilikutana na msichana mmoja...
Aisee wadau jana kuna tukio la kusikitisha limenitokea.
Nilikuwa nimesimama maeneo ya Mwenge karibu na maduka nikaona mama mtu mzima analia.
Wakati huo nilikuwa nipo kwenye simu yangu nachati na...
Hamjambo wadau,
Kuna mdada mmoja enzi hizo nilitokea kumpenda hata nikawa nafunga kumuombea mema kwa Mola hata nikaenda porini nikapiga magoti kumuombea kheri lakini siku moja akanambia 'HATAKI...
Be nakumbuka ulivyokuwa unapita maeneo ya nyumban mtoto wa kichaga ulikuwa umefungasha! haikuwa mbali ni 2009 nikakusimamisha mbele ya jiran ambae swahib nikakutongoza ukiwa mbichi ndo kwanza...
Ninaujauzito mwanaume kakataa mzazi wangu hataki hata kuniona na kasema nisikanyage kwake sina kazi nimeshindwa cha kufanya nimeona bora ninywe sumu tu nisameheni kwa maamuzi haya sina uelekeo.
Kichwa hapo juu kinahusika sana. Nimeona tujadili hili sana ambalo nimekuwa nikilisikia na hivi jana nimeliishi.
Siku ya Jumapili, majira ya mchana saa 7 nilikuwa maeneo ya Ununio...
Hello jf,
Nimeamini yatupasa kufanya sala kulingana na imani tuliyonayo. Kilichonifanya niamini hivi ni hali iliyonitokea leo asubuhi.
Ilikuwa hivi leo alfajiri mida ya saa kumi, mapigo ya moyo...
Daah nashangazwa na hawa wasichana ambao nimewalea walikua Walinunuliwa chupi mpya wanakuja kunionesha sasa hivi hawaniamkii tena baadhi wanatoa mambo!
Lakini nikiona wanaogopa sana Mimi huwaita...
Wana jamvi salaam ....
Ninauanzisha huu uzi si kwa kusudio la kutukumbusha "machungu, simanzi, maumivu" nk ambayo tuliyapata tokana na neno/maneno "makali" toka kwa wale tuliowapenda sana ...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.