Eeee makubwaaZilikuwepo nyuzi za kuwaponda wanaume wa Dar & vibamia, zikapita
Zikaja za kuwaponda wanawake, nazo zinaelekea ukingoni,
Zikaletwa za 'mpenzi wangu kanifanyia hivi na vile', nazo zikapita,
Zikaletwa za kulaani vizinga, nazo zikapita.
Zilizopo sokoni kwa sasa ni za ''nimpe zawadi gani?''.......Kuigaiga kila kitu kunadhihirisha ukweli wa 1/4.
hhaahahahah, umewaza mbali hahahhaha ila kuna kaukweli Fulani hivi ulivyosema hahahhaZilikuwepo nyuzi za kuwaponda wanaume wa Dar & vibamia, zikapita
Zikaja za kuwaponda wanawake, nazo zinaelekea ukingoni,
Zikaletwa za 'mpenzi wangu kanifanyia hivi na vile', nazo zikapita,
Zikaletwa za kulaani vizinga, nazo zikapita.
Zilizopo sokoni kwa sasa ni za ''nimpe zawadi gani?''.......Kuigaiga kila kitu kunadhihirisha ukweli wa 1/4.
Umesahau zile za Chit-chat ''ni member yupi wa JF unampenda?''?hhaahahahah, umewaza mbali hahahhaha ila kuna kaukweli Fulani hivi ulivyosema hahahha