Upatapo fahamu Jua umepotea

Upatapo fahamu Jua umepotea

The Hunter

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2010
Posts
1,048
Reaction score
307
Bandugu mwenye huo wimbo naomba autupiee, sikumbuki jina la yule jamaa alioimba.
 
upo kwenye mahusiano mwenza haeleweki...upatapo fahamu jua mnachezeana tu
unawekeza baa rafikizo wanajenga na kuwekeza kwenye miraji ya kutengeneza vipato....upatapo fahamu jua ushapotea
Umri unasogea hujaamua kujikita katika mfumo wa maendeleo......upatapo fahamu jua ushapotea

We ni mwanafunzi kusoma husomi unategemean nini upatapo fahamu jua ushapotea

NAUPENDA HUUU WIMBO maneno yake tu yanachoma
 
upatapo fahamu jua nishapotea......nimeichakachua kidogo
 
upo kwenye mahusiano mwenza haeleweki...upatapo fahamu jua mnachezeana tu
unawekeza baa rafikizo wanajenga na kuwekeza kwenye miraji ya kutengeneza vipato....upatapo fahamu jua ushapotea
Umri unasogea hujaamua kujikita katika mfumo wa maendeleo......upatapo fahamu jua ushapotea

We ni mwanafunzi kusoma husomi unategemean nini upatapo fahamu jua ushapotea

NAUPENDA HUUU WIMBO maneno yake tu yanachoma
good piece of work
 
Bandugu mwenye huo wimbo naomba autupiee, sikumbuki jina la yule jamaa alioimba.
Mwimbaji nadhani ni Banza Stone aka Ng'wanaMasanja, kiukweli jamaa alikuwa na tungo za ukweli kabisa unga umeharibu sana kipaji.
 
Samahani mnaweza kuweka jina la wimbo wenyewe au mtunzi wake
 
Bado nautafuta wimbo huu hadi leo sijaupata........
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom