juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,463
Sijajua ni kwamba ni roho mbaya au ni ushamba au ni kutojua matunzo ya mwanamke,sipendi mwanamke aniombe hela, yaani kama nina mwanamke halafu akaniomba hela basi ajue tunakosana hapo na nakuwa simtaki tena na namba yake nafuta,hata kama kaomba 4000 huwa naumia sana nikimpa.Sasa sijajua hii maana yake nini.