tang'ana
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 11,898
- 15,548
Jana nimesafiri toka Dar to Aarusha,robo tatu ya safari yangu nilikua nimelaliwa na mdada mmoja hvi ambae tulikua seat moja, bahati nzuri alikua mrembo hivyo sikuona hatari sana,lakin hii sio mara ya kwanza,imekua kama utamaduni kwa wadada kulalia wanaume kwenye vyombo vya usafiri,mwingne anakulalia anatoa mpaka udenda yaani.
Hivi huwa ni kaugonjwa ka wadada au?
Hivi huwa ni kaugonjwa ka wadada au?