Wewe ni baba mwenye watoto watatu, siku moja ukiwa unaenda kazini njiani ukapata ajali, watu wema wakakupeleka hospital.
Unapata fahamu unajikuta upo hospital ukiwa juu ya kitanda wakati...
Hbr ndg zang
Samahan naomba kuuliza et ni nan anatakiwa kuwa wa kwanza kumpeleka kumtambulisha mwenza wake kwao bi/bw kabla ya taratibu zingine kufuata
Habari zenu wanaJF,
Naombeni ushauri wenu. Nimekua katika mahusiano na huyu msichana kwa miezi 8 sasa. Ni msichana ambae anajiheshimu na hana makuu. Katika kipindi chote hiki ameweza kutenga muda...
Hakika naona ndugu zangu mmejisahau sana. Wakati majukwaa mengine wakiendelea kupiga kelele kuombwa jeshi la police wamwachie mkurugenzi mtendaji wa Jf, hapa watu wanaendelea kukomaa na ishu...
Niliingia katika mahusiano na wewe mwanamke kipindi kile na graduate, nikakupenda kwa moyo wangu wote, pamoja na kuishi katika mikoa tofauti nikawa mwaminifu kwako sikuwahi kuchepuka hata kidogo...
Kuna binti mmoja ambaye mimi na yeye tumetokea kupendana, na kwa kweli ni wife material na tunaelewana sana.
Tumekuwa na mikakati na mipango mingi na tulishapanga kuoana, ila kuna tatizo moja...
Habari ya asubuhi wadau, kama thread inavyosema am a man of age btn 30 and 34 nahitaji rafiki
au marafiki wa kike kw ajili ya kudiscuss mamambo ya maisha kwa ujumla na mitoko ya out na kupeana...
It looks like the dating scene is more filled with girls; than real women. If you have been wondering about the reasons behind past relationship failures, the answer may lie in the fact that you...
Sijui hata imekuwaje nikakumbuka kisa hiki. Ila looking back there was always an extra Guardian Angel watching out for me. Karucee. Sometimes I amaze myself.
Basi, siku moja nikiwa chuo nilikaa...
Naona mada za kutafuta wake zimekuwa nyingi lkn naomba nami nitoe ombi lang.
Nahitaji mdada muadventista msabato baadaye aje kufanyika mke nami niwe Mme wake.
Mimi ni kijana miaka 30, mfupi...
Ambaye kakusumbua mda mrefu wakati unamtongoza. Jua hakuna mapenzi hapo Bali kuna kitu kafuata au alikua ana mtu au anakulinganisha na watongozaJi wengine, kama kakuzungusha sana siku akijubali...
Natumaini niwazima wote ninaomba kwa wadada tu nipate wadada wakuchat nao tu sina la ziada hapo au labda itokee lakini kuwa sasa nahitaji wadada wakuchat tu nione pm nikupe contacts. tuwasiliane...
Habari wadau,
Hivi pale mnapozungumzia dhana ya mwanaume kujiamini huwa dhamira yenu hasa na mategemeo yenu ni mwanaume aweje?
Chukulia mfano upo tayari katika mahusiano aidha ya ndoa ama...
Waungwana salamu,
Kuna thread moja huko kuna mjadala umezuka na ndani ya thread yenye topic tofauti kabisa. Nimeona niuweke hapa mjadala ili ujadiliwe kwa kina kama itaonekana inafaa.
Kuna...
I got a question for you guys,
Katika mazingira yetu ya kibongo bongo bado hakikubaliki sana kwa mwanaume kuingia jikoni na kupika, haswa na wanaume wengine. Akifanya hivyo basi ataitwa majina...
Habari zenu wana MM. mie mzima sana aiseee.
Leo naona tukumbushane mambo machache tu katika mahusiano japo yapo mengi. Mahusiano hasa yanayohusisha mapenzi huwa yanachangamoto zake na mazuri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.