Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Haka kaishu nimekafikiria leo sababu ya mambo yanayoendelea hasa kwa dada zetu.... Kuongeza makalio ila ishu kama mwanaume nimegundua "We men dont love chura but when it comes to matter of...
4 Reactions
144 Replies
24K Views
Ni kiumbe dhaifu km tulivyokalilishawa, ila kiuharithia Mwanamke sio kiumbe dhaifu,Ni kiumbe hatari Sana,hakuna aliyewai kumuelewa kiumbe huyu,hata wao kwa wao hawaelewanagi.. Hana sauti ya...
7 Reactions
156 Replies
22K Views
1. Niliyainua macho yangu kulitazama jua liliokuwa linzama katika miinuko iliyoko magharibi ya mbali,nilimshukuru Mungu kwakuwa siku ilikuwa imekwisha. Anga llibadilka na kuanza kuonekana na...
1 Reactions
14 Replies
7K Views
Kila mwanaume najua pesa za kubangaiza ila namanisha pesa za kutosha aswa kwa kijana anaeanza maisha ni ngumu kupata mwenza kila mahusiano utakayoanzisha yatavunjika kwa mda mfupi nakukuacha na...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Habarini wakuu, Wiki moja iliyopita nilikuja jukwaa hili kuomba msaada wa kimawazo juu ya suala lililokua likiendelea kati yangu na boss wangu, (rejea thread yangu ya mwisho) pale ofisini Boss...
63 Reactions
170 Replies
18K Views
Wana JF, mimi ni mwanadada na leo nimeona nijitoe muhanga kabisa maana ninahitaji mume/mchumba. Niko tayari kupokea kukosolewa ila kwa yule aliyeko kwenye shinda kama yangu tafadhali ni PM. Mimi...
4 Reactions
148 Replies
18K Views
Kwa kweli hawa wanawake/wasichana wanaovuta sigara nimetokea kutowapenda hata sijui kwanini nahisi sigara zilitengenezwa kwa ajili ya kutumia sisi wanaume ila wanawake nadhani wanafosi tu...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Ndugu jamaa na rafiki napenda kuuliza jambo kuhusu mahusiano eti mapenzi ya kweli ni [emoji117] PESA [emoji117] MOYO ??
0 Reactions
129 Replies
11K Views
Wana janvi natumai mu wazima.. Na mnaendelea kugangamala na uchumi wa hapa kazi tu.. Ambao sio rafiki na mifuko yetu. Dhumuni kubwa la uzi huu ni kutoa shukrani zangu za dhati kwa ushaur na...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Tatizo la ubakaji linazidi kukua kila siku watoto wenye umri mdogo wanabakwa na watu wazima tatizo huwa ni nini ? [emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17]
0 Reactions
27 Replies
8K Views
Kuna dada mmoja alikuwa na rafiki yake ambaye alikuwa muathirika Sasa, kuna kaka alimpenda sana yule rafiki naye alimpenda sana yule kaka. Yule dada aliogopa kamwambia yule kaka kwamba rafiki...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Duh sijui hii kitu ni kwangu tu au ata kwa Nyie ndugu zangu inawakuta? Katika kipindi changu chote tangu nikiwa chuo nimekung'uta papuchi kibao sanaaa mpaka kuna wakati mafikiri ktk zile sharia ku...
3 Reactions
36 Replies
3K Views
Inafahanika kwamba mapenzi ndio mzizi bora katika dunia na hakuna anaependa kusalitiwa. Sasa je katika mahusiano nani huwa anaanza usaliti kati ya MWANAMKE na MWANAUME ???
2 Reactions
151 Replies
20K Views
[emoji7]Story[emoji117] TRUE HEART [emoji7]Mtunzi [emoji117]Ochu ruvuly [emoji112]Contact[emoji117] 0762374269 ( sehemu 1 ) Ilikuwa ni asubuhi yenye baridi kali, mvua zenye upepo mkali zilitawala...
0 Reactions
3 Replies
870 Views
Hivi mwanamke bora na mwenye unamjuaje ? [emoji117] Kwa kumuangalia tu ; [emoji117] Au kuna njia nyingine inayotumika ili kugundua kama ni mwanamke bora ?
1 Reactions
48 Replies
9K Views
Nianyiimani ninyi nyote ni wazima WA afya njema..Najitokeza safari hii na tafuta mpnz wakuwa namimi awe ana umri usiozidi 25miaka..na pia atokee Tanga.na awe tayari kunizalia mtoto mmoja. Ahsanteni.
0 Reactions
8 Replies
989 Views
Anatafutwa mchumba anaeishi na virus vya ukimwi.alie series na mwenye hofu ya mungu.BINTI anaetafuta mchumba ana umri wa miaka 24.kwa alie na utayari aje inbox kwa maelezo zaidi
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Nipo kwenye ndoa huu mwaka wa tatu sasa lakini nimechoshwa na tabia za mume wangu nilishamfumania zaid ya mara moja na amekuwa ananiomba msamehe bas na msamehe yanaisha, lakini kwa sasa nadhani...
12 Reactions
541 Replies
40K Views
Wakuu, Naomba mnisaidie kwa hili. Nimempa mimba mdogo wa rafiki yangu kipenzi, namuambia aitoe hataki. sio kama sina uwezo wa kumuhudumia ila naogopa jinsi watu watakavyonichukulia kutokana na...
1 Reactions
136 Replies
20K Views
Habari za leo waheshimiwa wote wa jukwaa hili, Nimekuwa nikiambiwa na mimi nikashuhudia live kuwa pale pindi mtoto mchanga ambae hali chochote zaidi ya ziwa la mama akisikia KIU unapaswa ukate...
1 Reactions
30 Replies
4K Views
Back
Top Bottom