Naona Nimekusahau sana.

Eberhard

JF-Expert Member
Dec 20, 2010
1,120
757
Hakika naona ndugu zangu mmejisahau sana. Wakati majukwaa mengine wakiendelea kupiga kelele kuombwa jeshi la police wamwachie mkurugenzi mtendaji wa Jf, hapa watu wanaendelea kukomaa na ishu za kimapenzi tu.

Naona mmejisahau sana. Mnaendelea na yale mambo yenu ya ninatafuta wanaume mrefu, mweupe, mcheshi kama vile nyinyi ndiyo mnaoumba huku mkijisahau kuwa mpambanaji yuko ndani akitutetea.

Pia hiyo tabia yenu ya kutafuta wanaume weupe mtasababisha wanaume waazeeka kujichubua kama nyinyi maana wengi wenu weupe wenu siyo halisia. Au mwende mkawatafute wazungu maana wao wote weupe.

Fanyeni mzaa tu. Serikali ikiifunga jamii forums mtakuwa mnapost mambo yenu wapi ?

Mwisho naomba pamoja na mambo mengine tutumie jukwaa hili, Fb, whatsapp na mengjneyo ili kupiga kelele Maxcence Melo aweze kuaachiwa.
 
nimekuelewa we ni mweusi lm msudani hupendi weupe wapendelewe.


kiukweli boss wetu sijui nini chanzo cha yeye kufika huko na siwezi amini nyuzi za watu maana humu kuna kamsemo"dont take jf as a serious place" hivo madhara ya kutokuwa siriaz ndo km hayo ata lililo la ukweli tunaona sio.
 
Back
Top Bottom