Kuna binti mmoja ambaye mimi na yeye tumetokea kupendana, na kwa kweli ni wife material na tunaelewana sana.
Tumekuwa na mikakati na mipango mingi na tulishapanga kuoana, ila kuna tatizo moja ambalo wengine wanaweza wasione ni tatizo, ila kwangu ni tatizo.
Ni hivi huyu binti nahisi kuwa atakuwa amekeketwa, na kama mnavyojua kuwa kuketwa kuna athari zake, japo zipo jamii nyingine ambazo hawaoni tatizo.
Sasa kwa kuwa mimi sina uzoefu sana na maumbile ya wanawake nikiwa nae faragha naona kabisa kuna kitu hana kwenye maumbile yake maana huko nyuma nshawahi kudate na wasichana kadhaa na kwamba maumbile yao yalikuwa yana kale kaharage, lakini huyu hana.
Nilitaka kumuuliza kuwa kwa nini yupo hivyo but, nikaona nitumie busara nifanye uchunguzi kama kweli kaketwa au la isije ikawa ni maumbile yake tu.
Anatokea kwenye jamii ambayo kwa kweli ukeketaji haupo na hata kama upo unafanyika kwa siri sana.
So naona nikiharakisha kumuuliza na kama kweli atakuwa mnyonge sana, sasa wadau hebu nipeni uzoefu kweli hili!