Kutambulishana; Nani anatakiwa kuwa wa kwanza kumtambulisha mwenzie kwao?

Nyangeta Mussa

Senior Member
Dec 8, 2014
199
127
Hbr ndg zang
Samahan naomba kuuliza et ni nan anatakiwa kuwa wa kwanza kumpeleka kumtambulisha mwenza wake kwao bi/bw kabla ya taratibu zingine kufuata
 
Waiteni mnaotaka wafahamu kuwa mnatarajia kuchukuana wakae Pamoja ili mtambulishane wakiwa wote. Hii itasaidia mmoja asimuwahi mwenzake kwan ni haki sawa kwa wote
 
unampeleka mtu nyumbani unaulizwa ni kijana wa wapi huyu unaanza kutaja pm sijui facebook inbox ! aya kesho humuoni hata pa kumuulizia huna hapana kwa kweli mimi simpeleki mtu kwetu kama sijaenda kwao tenma kwao haswa sio kwa wazazi feki kwa mababu kabisa
Twende nikupeleke kwa babu sumbawanga
 
unampeleka mtu nyumbani unaulizwa ni kijana wa wapi huyu unaanza kutaja pm sijui facebook inbox ! aya kesho humuoni hata pa kumuulizia huna hapana kwa kweli mimi simpeleki mtu kwetu kama sijaenda kwao tenma kwao haswa sio kwa wazazi feki kwa mababu kabisa
Haaaahaaaaa yaaan
 
Akupeleke kwao kwanza ufahamiane nao baada ya hapo yeye kijana na wazazi wake au watu wa karibu waje wajipange kuja kwenu
 
Ngoja nisome comments tuu.... Huenda nkapata chochote kitu apa
 
Back
Top Bottom