Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,433
- 191,755
Habari wadau,
Hivi pale mnapozungumzia dhana ya mwanaume kujiamini huwa dhamira yenu hasa na mategemeo yenu ni mwanaume aweje?
Chukulia mfano upo tayari katika mahusiano aidha ya ndoa ama uchumba.
Is it about ignoring all the red flags na kujifanya hamnazo unapoona hata mazingira hatarishi.?