Mwanaume mtaalamu jikoni

Dr Lizzy

Platinum Member
May 25, 2009
30,808
59,358
I got a question for you guys,

Katika mazingira yetu ya kibongo bongo bado hakikubaliki sana kwa mwanaume kuingia jikoni na kupika, haswa na wanaume wengine. Akifanya hivyo basi ataitwa majina kibao na yatasemwa mengi juu yake mf.mume bwége,kakaliwa, kalishwa limbwata, sio mwanaume kamili n.k.

Sasa swali langu ni kama hayo hapo juu yanamhusu mwanaume ambaye anaishi na mwanamke, vipi yule asiyeishi na mwanamke (mpenzi/mke)? Pengine anaweza akawa anaishi na ndugu, dada wa kazi au hata mwenyewe. Huyu tumwite nani? Maana kama kukaliwa kakaliwa na nani? Limbwata kapewa na nani? Ubwége kavishwa na nani? Uanaume kavuliwa na nani?

Nadhani ni muda sasa tuanze kukubali wanayofanya wengine na kuwaacha wajihukumu wenyewe. Kama wewe hutaki/huwezi hamna haja ya kumwita anaefanya majina ya ajabu. Baki tu ukishangaa!!
 
Lizzy,

Huku kwetu siyo tu kwamba ni marufuku kwa mwanamume kuingia jikoni ila haiwezekani kabisa...Watu wanafanya hivyo tu pale wanapokuwa really single...Akianza tu kuishi na ndugu au mfanyakazi basi mambo yanaishia hapo.

Na kwa vile hao wanapika kwa muda, sioni kama kuna sababu ya kuwapa majina....Ila yule ambaye keshaoa halafu anang'ang'ania kuingia ingia jikoni siyo tu kupewa majina bali anastahili kuchapwa viboko kabisa!!

Babu DC!!
 
Babu DC bana, sasa kama mhusika haoni tatizo iweje watazamaji wasumbuke?
 
Unajua mtu huwezi kuishi kama kisiwa...vinginevyo usiwe na majirani au ndugu. Halafu watazamaji wengine wana stake kwa huyo mhusika...Kwa nini wasiumie kuona mdau wao anaharibikiwa???
 
ambaye anaingia jikoni akiwa hajaoa huitwa h.a.n.i.t.h.i, kwa nini haoi

hakuna exkuzi ya mwanamme kuingia jikoni
 
Mmmh what kinda stake are we talking about babu? Maana wengine utakuta hata hawamjui mhusika ila maneno ya kuambiwa wanayashupalia kama vile wanamjua.
 
I got a question for you guys,

Katika mazingira yetu ya kibongo bongo bado hakikubaliki sana kwa mwanaume kuingia jikoni na kupika, haswa na wanaume wengine. Akifanya hivyo basi ataitwa majina kibao na yatasemwa mengi juu yake mf.mume bwége,kakaliwa, kalishwa limbwata, sio mwanaume kamili n.k.
Sasa swali langu ni kama hayo hapo juu yanamhusu mwanaume ambae anaishi na mwanamke , vipi yule asieishi na mwanamke(mpenzi/mke)?Pengine anaweza akawa anaishi na ndugu, dada wa kazi au hata mwenyewe.Huyu tumwite nani? Maana kama kukaliwa kakaliwa na nani?Limbwata kapewa na nani?Ubwége kavishwa na nani?Uanaume kavuliwa na nani?

Nadhani ni muda sasa tuanze kukubali wanayofanya wengine na kuwaacha wajihukumu wenyewe.Kama wewe hutaki/huwezi hamna haja ya kumwita anaefanya majina ya ajabu.Baki tu ukishangaa!!

hao wanaoishi wenyewe inabidi tuwaite wagumu
 
ambaye anaingia jikoni akiwa hajaoa huitwa h.a.n.i.t.h.i, kwa nini haoi

hakuna exkuzi ya mwanamme kuingia jikoni

Hapo hujawatendea haki baadhi ya watu,

Hivi mtu anaweza kuoa immediately baada ya kutoka shule au???
 
Mmmh what kinda stake are we talking about babu? Maana wengine utakuta hata hawamjui mhusika ila maneno ya kuambiwa wanayashupalia kama vile wanamjua.

Unajua hata jirani yako ana stake kwako na ndio maana ukipiga yowe ya kuomba msaada yeye ndiye wa kwanza kufika...

Kwa hiyo ukifanya kitu cha kusikitisha lazima kitamgusa tu.....!!
 
Ukiona unapingana na biology hakuna ugumu
ni imperfection tu
mengine yooote ni kujipa moyo

ni h.a.n.i.t.h.i tu
sijui ana miaka 35 hajaoa?
Usidhani mzima huyo

hao wanaoishi wenyewe inabidi tuwaite wagumu
 
To mt I thwea its a taboo
wala simtaki wa ivo
ataniletea kiwingu ndani
ntajiona kama niko kwenye ndoa ya jinsia moja

Hiyo wagumu ni positive au negative?

@Kongosho. . . Embu acha kukandia kaka zangu.Kwani kuingia jikoni dhambi?
 
Aseeee......
basi kuna m.ahanithi flani hivi nawajuaga, wanapikaga! hata hawaogopagi!
 
Unajua hata jirani yako ana stake kwako na ndio maana ukipiga yowe ya kuomba msaada yeye ndiye wa kwanza kufika...

Kwa hiyo ukifanya kitu cha kusikitisha lazima kitamgusa tu.....!!
Sasa chakusikitisha hapo ni kipi?
No wonder hata watoto hawajui ukaribu wa baba zao kisa majirani watasema.
 
Ukiona unapingana na biology hakuna ugumu
ni imperfection tu
mengine yooote ni kujipa moyo

ni h.a.n.i.t.h.i tu
sijui ana miaka 35 hajaoa?
Usidhani mzima huyo
Biology ndio inayotuma watu kuoa na wanaume kutokupika?
Let's not get confused here!!!!
 
To mt I thwea its a taboo
wala simtaki wa ivo
ataniletea kiwingu ndani
ntajiona kama niko kwenye ndoa ya jinsia moja

To you ehhhh??
Sasa kwanini usiache iwe kwako tu badala ya kutaka kila mtu awe vile unavyoona wewe?
 
exkuzi ya shule inaeleweka
lakini naye asikae sana
mwanamme akikaa bachala muda mrefu nayo ni utata
anaonekana si mtu wa kujipanga
sasabu tangu mdogo anajua siku moja ataoa
si kitu cha kushtukizwa
Hapo hujawatendea haki baadhi ya watu,

Hivi mtu anaweza kuoa immediately baada ya kutoka shule au???
 
Lizzy,

Huku kwetu siyo tu kwamba ni marufuku kwa mwanamume kuingia jikoni ila haiwezekani kabisa...Watu wanafanya hivyo tu pale wanapokuwa really single...Akianza tu kuishi na ndugu au mfanyakazi basi mambo yanaishia hapo.

Na kwa vile hao wanapika kwa muda, sioni kama kuna sababu ya kuwapa majina....Ila yule ambaye keshaoa halafu anang'ang'ania kuingia ingia jikoni siyo tu kupewa majina bali anastahili kuchapwa viboko kabisa!!

Babu DC!!

Dark City!! Mkubwa! Hapa umemaliza kazi na nafikiri majibu zaidi ya hapa hakuna.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom