NANI MWENYE MAKOSA MKE AU MUME ?

RUVULY

JF-Expert Member
Apr 16, 2014
369
250
Wewe ni baba mwenye watoto watatu, siku moja ukiwa unaenda kazini njiani ukapata ajali, watu wema wakakupeleka hospital.

Unapata fahamu unajikuta upo hospital ukiwa juu ya kitanda wakati unajiuliza kimetokea nini daktari anakuja kuendeleza huduma, Ukamuuliza daktar kilichotokea kwako akasema ulipata ajali na ukaletwa hapa.

Bahati nzuri hujapata majeraha mengi japo sehemu iliyopata matatizo ni kwenye kiuno, Pia kutokana na vipimo vinasema huwezi kumpatia ujauzito msichana yeyote na chanzo cha tatizo hilo si ajali hii, ispokuwa ulizaliwa hivyo .

Unarudi nyumbani unamuuliza mke wako anajibu ndio alitoka nje ya ndoa kwa sababu anampenda mume wake na ndoa yake pia na akijua muda mrefu kama mumewe hana uzazi na mumewe alikuwa anahitaji mtoto sana.

Je wewe kama ndio huyu jamaa unafanyaje ?
 
tuusan

JF-Expert Member
Jun 30, 2016
12,260
2,000

Japo ni story lakini huwezi kuambiwa na daktari kua huna uwezo a kuzalisha katika mazingira hayo....
je ajali ya kawaida tu inahusiana vipi na kutambua uwezo wa mbegu zako kutungisha mimba...je daktari alifanya sperm analysis? Kwa indication gani....kwahyo ata kama ni story basi iweze kutoa uhalisia watukio
hayo ni mawazo yangu tu!!
 
Na ndio mana ikaitwa stori kwa sababu huwezi kuelezea kila hatua but had daktar kujua kuwa hana uwezo wa kumpatia msichana mimba bas kapima kila kitu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom