Diary of a night in my past

Diary of a night in my past

Karucee

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2012
Posts
18,196
Reaction score
34,502
Sijui hata imekuwaje nikakumbuka kisa hiki. Ila looking back there was always an extra Guardian Angel watching out for me. Karucee. Sometimes I amaze myself.

Basi, siku moja nikiwa chuo nilikaa pub ya mle mle ndani napiga booze mdogo mdogo huku nasubiri kiza kiingie nikafate mirungi Kkoo. Piga maji weeeeeeee. Mpaka nikanogewa nikaona mirungi nini nitaifata hata kesho. Basi niko pub akaja Dada flani hivi akawa amekaa na mimi tunatia story. I am not the girlie type with girlfriends..... Huwaga wanajisahau wanataka kuwa kama mimi na watapotea bure, so I didnt entertain them even though they held me in great admiration at the lifestyle I led.Tukatia story akaniambia kuna girlfriends wake wengine wanakuja, nikamwambia poa. The more the merrier. Tukatia story mie nikawaaga nikawaambia The night is still young and I wanna go out. Wakaniambia wao bado wapo wapo nikawaambia poa. Nikarudi room ku shower and change si unajua tena?

Nafika parking wakaniambia twende wote. Ngachoka. But nikasema why not. Nikawaambia mie nataka kwenda Mbezi Beach club flani hivi wakasema poa twendeni kwanza pale Mcity sheli kuna watu tunaenda kuwafata.Ni kabla ya hii sheli ya sasa hivi kujengwa. Tumefika pale bwana kuna garage party! Nikaona hapa bwana bora booze ipungue nipate kusoma mazingira. So nikawasha ndom yangu nikavuta weeeeee ili booze ishuke. Siwezi kuingia party ya wenyewe kichwa kichwa. Some party it was. High prof kiaina but still garden party. Nikawa nime sober up kidogo but still shy.

Ile narudi kwenye party my new found friends were dancing, isingekuwa issue but they were stripping!!Like hell they were Hivi, do these things happen to everyone ama just to mie Karucee. The boys were cheering like mad. Nikaona hapa bwana I would rather get toasted, nikiwa sober sitapaweza.

Party ikawa inaendelea, everyone was having a good time. Couples were cuddling, others humping in the cars parked in the garage. Mie bwana nimejikalia na ma boys flani hivi tunawasha ndom na kuwaka vibaya mno. It was all good.

Ee bwana eeeeee. Sasa sijui ilikuwa idea ya nani kufungua boot ya Land Cruiser flani hivi na kutoa pipe (Rifle) amletee Karucee ahifadhi. I look innocent, plus am shy mbele za watu na naona huyu jamaa aliona alete silaha yake nimuhifadhie. For reasons best known to him. Haya akaniwekea kwenye mapaja. Bonge la pipe aisee. Watu wakashangilia weeeeeeeeeeeeee.Huyu anatufaa, kwanza macho makavu na sisi tuko chicha mbaya. Wakija wenyewe fyatua tu. Shika hivi fanya hivi. Jamaa wengine wawili wakaleta za kwao mbili. Moja kubwa ingine ndogo wakanikabidhi kila mtu akaendelea kuparty kivyake.

Sasa mie bwana nimeachwa na gobore za wenyewe nikaanza kuikagua ile kubwa. This cant be real. How? Kumbe lizito hivi? Kwenye movie wanashikaga hivi? Sasa risasi zinakaa wapi? Kwanza zikoje hebu niaingalie. Nikawa bize na gobore yangu. Kuna kipini hivi unavuta hivi.... Na hizi ndogo mtu anafichaje kiunoni? Nikachukua nikachomeka kwenye jeans nikajiona Rambo weeeeee. Na hivi nilishavuta mambo yangu?? Nikawa nimeweka pozi flani hivi ya ki Cowboy, sigara mdomoni, pistol kiunoni na ile kubwa across my lap. teh teh teh.

EE bwana dakika ya kuvamiwa ilikuwa sifuri. Mi nilishangaa watu wanakimbia huku na kule wanalia weziiii weziiiiii. Ile gun ya kiunoni ikachomoka zake huko, nilioshika ikaanguka like a hot rod... mie huyooo chini ya gari. Nikaona gari moja imewashwa moto hilooooo likaondoka. Mpaka leo sipatagi picha kamili ilikuwaje. Tulikuwa tumewashaga moto bonfire hamna hata alofikiria kuhusu kuungua. Toka nduki vibaya mnooooooooo. Hahahaha. Nilikujaga kuhadisiwa na yule dada wa chuo hali halisi ilikuwaje. Ni Mijizi ilichukua lile gari ...... As long as no one got hurt, mali inatafutwa bwana. Another night in Karucee's past.

Have a lovely weekend.
 
...and the only person who was able to tame down this wild woman is your beloved mother...
Mama bwana, she's the queen who tames this wild woman!!!



As wild as can be.Damn!!!!
 
...and the only person who was able to tame down this wild woman is your beloved mother...
Mama bwana, she's the queen who tames this wild woman!!!
Present tense because she is in my heart each single day. Ama whats your point BAK
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Kila mtu huwa ana hadithi lakini wewe jirani una mihadithi...lol
 
Just like me, I reckon you were the chief mischief maker.

Too bad I'm too grown now. I can only wallow in nostalgia and wonder I'm still alive.
Many years along the line I meet people and they seemingly only remember me for the mischief.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom