Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Sometime kuna kosa mtu anaweza kukufanyia likakutesa na kuamua kuchukua maamuzi magumu kutokana na hasira ulizonazo kwa wakati huo ila ukikaa chini na kufkiria upya unaamua kuutua mzigo na kutoa...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Unakuta mwanaume anamtokea mwanamke ila ndani ya siku chache tu anaanza unajua kazini wamechelewa kunilipa hela na mwanangu anadaiwa hela ya masomo ya ziada sawa hatukatai kusaidiana kupo ila hata...
6 Reactions
29 Replies
3K Views
Utakuta mkaka wa watu anakufuata ana nia nzuri akuoe ila unampandisha unamshusha mwishoni unaanza kusema wewe sio saizi yangu unangoja wa size yako anakuja kukukojolea tu hakuoi, unapoona umri...
19 Reactions
68 Replies
9K Views
VIDEO MUST WATCH: look what this Marriage Woman was caught doing with her father in law - Click Here To Watch - DailyGist
0 Reactions
0 Replies
717 Views
85 ya wanawake/wasichana wa kizazi cha kileo wanaingia katika mahusiano kwa lengo la mwanaume aliempata awe ni tegemeo lake kiuchumi.Huku wanaimba who run the world "girls" "girls"......you run...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Wakuu habari za usiku! Baada ya ubize wa miaka mingi sasa nimerudi mtaani rasmi , cha ajabu mbinu za kunasa mdada wa kuoa sina kabisa , yaani nilivyoanza kuwa busy enzi hizo na Uwezo ukapotea. ...
1 Reactions
69 Replies
10K Views
habari za wikiendi leo katika kuimaliza wiki nilikuwa nimekaa sehemu flani hapa mjini. sasa kama kawaida yangu akaja mwanamke mmoja mimi huku niko na kinywaji changu napoza joto. sasa katika...
4 Reactions
22 Replies
3K Views
Hellow, Mimi ni mdada 26 yrs, elimu yangu ni degree na nimeajiriwa, nahitaji mwanaume ambaye naweza kuanzisha mahusiano na tukafika somewhere, awe na umri 29-34, awe anajielewa, mkristo, elimu...
10 Reactions
100 Replies
9K Views
Sifa za mwanaume: -Awe mkristo Umri kuanzia 29-35 Awe na kipato chake Mwenye mapenzi ya dhati Sifa zangu Mimi ni mkristo Nina miaka 27 Rangi yangu ni black(beauty) Nimeajiriwa...
17 Reactions
153 Replies
21K Views
Mimi ni msichana mwenye umri wa Miaka 25. Nimeajiriwa na npo Dar. Natafuta mwanaume aliye serious kuwa na mimi. Vigezo: Awe muislam Mkazi wa Dar. Aliyejiajiri or aliyeajiriwa. Umri 27_30. Kabila...
14 Reactions
59 Replies
10K Views
Nina miaka 28, Mkritu, Sina kazi, Elimu yangu form 4, Natafuta mchumba awe mkritu, Atakaeweza kunitunza nami nimtunze, Miaka 30-35. Kama uko tayari ni pm.
3 Reactions
67 Replies
7K Views
Sawa na kichwa cha habari hapo juu. Mimi ni mmama mtu mzima (40-50) natafuta mbaba mtu mzima asiye na mke (aliyeachika au kufiwa) tujadili tuone kama tunaweza kuyasongesha. Awe kuanzia miaka...
1 Reactions
31 Replies
7K Views
Mimi ni msichana wa miaka 25, mrefu, mweupe, mkristo, sina mtoto ni degree holder na kwa sasa nimeajiriwa, natafuta rafiki wa kiume ambaye baadae tunaweza kuwa mume/mke kama itafaa. vigezi vyangu...
13 Reactions
204 Replies
21K Views
Mimi ni mdada mwenye miaka 31, Mkristo, na nimwajiriwa. Elimu yangu ni shahada. Nahitaji mwanaume ambaye yupo tayari kuanzisha familia, umri kuanzia 31 kwenda juu, njoo pm.
11 Reactions
51 Replies
6K Views
Kumsaliti mkeo haimaanishi humpendi! Hii ni kama kukodi taksi na wakati una gari yako nyumbani. Hii inakusaidia kuokoa mataili yasiharibike haraka na hata gari lionekane halijatembea umbali...
5 Reactions
22 Replies
2K Views
Habari wana JF. Wapendwa mwaka jana nilitoa uzi wa kutafuta mchumba, na nashukuru Mungu walijitokeza wengi wenye na wasio na vigezo, wengine waume za watu(wonders never seize) Nilifanikiwa...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Yh
0 Reactions
5 Replies
744 Views
Habari zenu wan JF, Nimeolewa na nina watoto wawili tatizo langu kubwa ni kwamba kabla sijaolewa nilikuwa na mahusiano na kijana mmoja,sikupenda tabia zake nikaamua kusitisha mahusiano,ikapita...
0 Reactions
50 Replies
6K Views
Habari za mwisho wa wiki mabibi na mabwana wa MMU, Leo nawasimulia kisa kilichonitokea kuanzia wiki iliyopita…………. Jumanne iliyopita ya tarehe 2/02.2016 saa nne asubuhi, Kasie nilipokea barua...
3 Reactions
159 Replies
15K Views
i want to marry you bebe marry you bebe. forever i luv u bebe together with you. ohhh lemme hold you touch you i luv luv you. kiss you hug you. i want to give ma life to you. give yo life to me
1 Reactions
42 Replies
4K Views
Back
Top Bottom