True heart

RUVULY

JF-Expert Member
Apr 16, 2014
369
250
Story TRUE HEART
Mtunzi Ochu ruvuly
Contact 0762374269
( sehemu 1 )
Ilikuwa ni asubuhi yenye baridi kali, mvua zenye upepo mkali zilitawala majira hayo. Ilikuwa ni furaha kwa baadhi ya wakazi wa eneo hilo kwani walizidisha shuka lingine na kupata usingizi monono.

Pia ilikuwa furaha kwa wakulima wa eneo hilo kwani walipandikiza mbegu za nafaka ardhini kwa manufaa ya baadae.

Lakini ilikuwa huzuni na mateso makali kwa kijana mmoja mdogo mwenye umri wa miaka 11 aliekuwa amehifadhi mwili wake chini ya mti mmoja katika eneo hilo.
Mvua ilinyesha takribani nusu saa kwakua baridi lilikuwa kali yule kijana alipoteza faham kwani alishindwa kumiliki hali ile kutokana na umri aliekuwa nao.

Baada ya mvua kuacha kunyesha wakazi wa eneo hilo walianza shughuli zao za kila siku, Mzee mmoja akiwa na mkewe walipokuwa wakienda shamba njiani walimkuta mtoto chini ya mti, walishangaa sana kumkuta mtoto mdogo mazingira yale, waliposogea karibu ghafla.........
Usikose sehemu ya pili
 

Padri Mcharo

JF-Expert Member
Feb 28, 2015
1,911
2,000
.... waliposogea ghafla bin vuuu mtoto akabadilika sura kuwa kama ya Chief Engineer, sharubu, kifua, macho mpaka sauti kama Chief mwenyewe copy right...... Mzee kwa mshangao alijikuta amekunya hapo hapo pyaaaaaaaaa yananuka kinyama!!!

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG]
 

RUVULY

JF-Expert Member
Apr 16, 2014
369
250
.... waliposogea ghafla bin vuuu mtoto akabadilika sura kuwa kama ya Chief Engineer, sharubu, kifua, macho mpaka sauti kama Chief mwenyewe copy right...... Mzee kwa mshangao alijikuta amekunya hapo hapo pyaaaaaaaaa yananuka kinyama!!!

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG]
Hahahaha
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom