Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

MIMI NINGEFELI MAJARIBU YA BINTI/JINI HUYU
1 Reactions
3 Replies
8K Views
Habari wanajamii wa JF, Nimeona nilifikishe hili ili kusaidia kuepuka balaa lililopo sasa. Mara nyingi watu wanaotaka kuingia kwenye ndoa kuna utaratibu mzuri tu watu hivi sasa wamejiwekea...
5 Reactions
68 Replies
10K Views
Never put temporary people in the permanent place of your life, and don't be afraid of removing the wrong people from the right place of your life. If it's your life then it's your right. Be bold...
8 Reactions
7 Replies
2K Views
Nakumbuka kuna kipindi nilikuwaga najiita BREEZY SWAGER BOY kwenye profile yangu sikuweka picha zangu niliweka picha za rafiki yangu wa huku mtaani yeye Handsome ana mvuto ana swaga balaa nikaona...
1 Reactions
59 Replies
4K Views
Ndugu wanajamvi Tujipe pole na mambo magumu yanayoendelea kutupata ikiwemo Mkurugenzi wetu Melo kuswekwa lumande, lema kuendelea kusota, mara zika, Ben saa8 kapotea Nina imani tutapita ktk vipindi...
9 Reactions
69 Replies
6K Views
When did it start? Genesis2:18-24 18 And the Lord God said,It is not good that the man should be alone; I will make a helpmeet for him.... 24 Therefore shall a man leave his father and his mother...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Nina mpenzi wangu msichana mzuri tu ambae anafanya kazi shule moja ya secondary ila mm sina kazi npo tu mtaani Nina komaa na kibishi. sasa kinachofanyika yule demu wangu ambae ni mpenzi wangu...
2 Reactions
59 Replies
10K Views
Habari wanajukwaa mimi ni kijana nimezaliwa miaka 21 iliyopita lakini katika umri wangu wa kujua kuchunguliana sijawahi kupenda, nimeshapitia kwenye mahusiano zaidi ya wasichana watano lakini huwa...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Habari wana jamvi Naona imefika wakati wa kutafuta mwenzi wa maisha ila Kigezo kikubwa ni awe Mwalimu hasa Sayansi na Hisabati.. Kipaumbele cha serikali sasa ni Sayansi na Hisabati.. Sitaki...
1 Reactions
85 Replies
7K Views
Leo baada ya mizunguko msingi ya hapa na pale si nikaamua kumpigia simu shemela wenu wa zamani tukakutana sehemu nikamuomba game akasema Hataki kunipa gemu g house kama nataka gemu niende kwake...
8 Reactions
15 Replies
3K Views
Nilimpendaga sana mdada mmoja kule Facebook kipindi hicho nipo Mbeya Nikawa nalike sana picha zake nikawa namsifia sana hata akiandika status za kijinga nikawa nalike na kucomment ili kujenga naye...
3 Reactions
19 Replies
3K Views
Toa mtazamo wako.
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Mimi ni mdada Nina miaka 27 niliolewa nikiwa na miaka 25 huyu mume wangu tulikutana kwa muda mfupi sikumjua sana wazazi walikataa wakaniambia atanisumbua lakin mimi nililazimisha mpaka tukafunga...
7 Reactions
96 Replies
10K Views
*1. Tamaa ya utajiri* Fedha na mali nyingi pasipo kutambua kuwa vitu hutafutwa, hapa wengi hupoteza nyota zao kwa kukataa wengi wenye kipato cha kawaida na kujirahisisha kwa wenye nazo ambao kwa...
12 Reactions
41 Replies
10K Views
Hello guys, Zamani ilikuwa kwenye familia moja kuna baba, mama, mjomba shangazi, dada, kaka, bibi, babu etc ila cku hiz mtu kwenda kwa ndugu (si kwasababu ya njaa) unakuwa unajifikiria mara...
23 Reactions
51 Replies
6K Views
Habari zenu Wanajamvi? Ni matumaini yangu nyote wazima wa afya. Mimi ni Kijana wa kiume umri miaka 29. Ni muajiriwa Serikalini katika idara fulani. Nahitaji rafiki wa kike mchamungu aliyeshika...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Mimi ni kijana 25 years, Nina jambo limekua likinisumbua mda kitambo kidogo...... In short nilikua namchumba wangu tulipendana sana, Tofauti yetu ilikua katika dini, mama yangu amekua akiniasa...
1 Reactions
37 Replies
4K Views
Kichwa cha habari chahusika, Nimemaliza chuo mwaka juzi, sijapata kazi mpk time hizi, familia yangu ni ya kimasikini, kutoka ni kwa juhudi zako binafsi, swala la mahali au ndoa wazazi hawalitambui...
1 Reactions
82 Replies
10K Views
Threads za kutafuta wake zimekuwa nyingi sana siku hizi, wanaume wengi siku hizi wanadai wanawake ni pasua kichwa. La mwanamke sio pasua kichwa endapo utakuwa umempatia wa kwako na kujua jinsi ya...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Back
Top Bottom