Lumbi9
JF-Expert Member
- Oct 12, 2014
- 8,784
- 12,592
1.
Niliyainua macho yangu
kulitazama jua liliokuwa linzama
katika miinuko iliyoko magharibi
ya mbali,nilimshukuru Mungu
kwakuwa siku ilikuwa imekwisha.
Anga llibadilka na kuanza
kuonekana na mawingu mekundu
na kigiza kilianza kuonekana
taratibu. ndege waliruka kurejea
kwenye viota vyao, nyani walouwa
wanacheza cheza barabarani
walirejea kweye hifadhi za ziwa
manyara. kwa mbali mlimani
niliona mwangaza hafifu wa taa za
serena hoteli na baada ya muda
mwezi angavu ulionekana angani
pamoja na nyota nyingi. muda huu
wote nilikuwa pembeni yangu
iliyokuwa karibu na shule ya
Msingi Mto wa Mbu nikijaribu
kutafakari ni ipi hasa hatima ya
maisha yangu. baada ya kuwaza
kwa muda niliinuka na kuingia
ndani ya nyumba yangu yapata
saa mbili kasorobo usiku. sikuwa
nimeoa ila nilikwa na mpenzi
mfanyakazi mwenzangu katika
sheli ya njake kwkuwa hatujafunga
ndoa alikuwa bado anashi
nymbani kwao mitaa ya mnazi
mmoja, kwa msukumo wa njaa
niliingia bfuni nakuoga kisha
nilichukua funguo nikawasha gari
kumfuata mpenzi wangu kwakuwa
tulikuwa tumepanga kupata
chakula cha usiku pamoja.
niliikamata barabara kuu mpaka
safari park nikakunja kushoto
nikaenda mpaka maeneo ya kwa
mbaga nikasimama kisha
nikampigia simu
"Hello Vency..." aliitika na kuniita
jina langu baada ya kupokea
simu.
"Hello Joyce nimekuja kukuchukua
tuende out kama tulivyo panga
mpenzi,
"....... sawa sweetheart nakuja
naomba dakika chache mpenzi"
"usikawie nipo hapa barabarani
kwa mbaga nakusubiri, nilikata
simu na kuwasha muziki ndani ya
gari nikakaa kumsubiri. haukupita
muda alifika na kuingia garini
safari ya kwenda kiboko camp
ilianza tulipita kwa mox
nakuikamata mnada wa zmani
mpaka kiboko. tulipata chakula
cha usiku na kufurahi pamoja.
ilipo timia saa nne karbu unusu
tulilipa pesa ya watu kulinganana
huduma tuliyo ipata kisha kurejea
garini nasafari ya kurudi nyumban
ikaanza.
"Vency unakumbuka uliniahidi
kuwa siku moja utanipeleka
matembezi Hifadhi ya Manyara?
joyce aliniambia huk akinitazama
usoni...
yeah... nakumbuka mpenzi itabidi
tupange siku nikupele wewe
pamoja na marafiki sawa mpenzi?
aliitika kwa kutikisa kichwatulipo
karibia mto wa maamudu kuna
kiumbe cha ajabu kilionekana
kukatiza barabara nililazimika
kuwasha full light(taa zote) za
gari lakini sikubahatika kukiona.
nililisimamisha gari ili nione kama
nitaweza kukiona......
Niliyainua macho yangu
kulitazama jua liliokuwa linzama
katika miinuko iliyoko magharibi
ya mbali,nilimshukuru Mungu
kwakuwa siku ilikuwa imekwisha.
Anga llibadilka na kuanza
kuonekana na mawingu mekundu
na kigiza kilianza kuonekana
taratibu. ndege waliruka kurejea
kwenye viota vyao, nyani walouwa
wanacheza cheza barabarani
walirejea kweye hifadhi za ziwa
manyara. kwa mbali mlimani
niliona mwangaza hafifu wa taa za
serena hoteli na baada ya muda
mwezi angavu ulionekana angani
pamoja na nyota nyingi. muda huu
wote nilikuwa pembeni yangu
iliyokuwa karibu na shule ya
Msingi Mto wa Mbu nikijaribu
kutafakari ni ipi hasa hatima ya
maisha yangu. baada ya kuwaza
kwa muda niliinuka na kuingia
ndani ya nyumba yangu yapata
saa mbili kasorobo usiku. sikuwa
nimeoa ila nilikwa na mpenzi
mfanyakazi mwenzangu katika
sheli ya njake kwkuwa hatujafunga
ndoa alikuwa bado anashi
nymbani kwao mitaa ya mnazi
mmoja, kwa msukumo wa njaa
niliingia bfuni nakuoga kisha
nilichukua funguo nikawasha gari
kumfuata mpenzi wangu kwakuwa
tulikuwa tumepanga kupata
chakula cha usiku pamoja.
niliikamata barabara kuu mpaka
safari park nikakunja kushoto
nikaenda mpaka maeneo ya kwa
mbaga nikasimama kisha
nikampigia simu
"Hello Vency..." aliitika na kuniita
jina langu baada ya kupokea
simu.
"Hello Joyce nimekuja kukuchukua
tuende out kama tulivyo panga
mpenzi,
"....... sawa sweetheart nakuja
naomba dakika chache mpenzi"
"usikawie nipo hapa barabarani
kwa mbaga nakusubiri, nilikata
simu na kuwasha muziki ndani ya
gari nikakaa kumsubiri. haukupita
muda alifika na kuingia garini
safari ya kwenda kiboko camp
ilianza tulipita kwa mox
nakuikamata mnada wa zmani
mpaka kiboko. tulipata chakula
cha usiku na kufurahi pamoja.
ilipo timia saa nne karbu unusu
tulilipa pesa ya watu kulinganana
huduma tuliyo ipata kisha kurejea
garini nasafari ya kurudi nyumban
ikaanza.
"Vency unakumbuka uliniahidi
kuwa siku moja utanipeleka
matembezi Hifadhi ya Manyara?
joyce aliniambia huk akinitazama
usoni...
yeah... nakumbuka mpenzi itabidi
tupange siku nikupele wewe
pamoja na marafiki sawa mpenzi?
aliitika kwa kutikisa kichwatulipo
karibia mto wa maamudu kuna
kiumbe cha ajabu kilionekana
kukatiza barabara nililazimika
kuwasha full light(taa zote) za
gari lakini sikubahatika kukiona.
nililisimamisha gari ili nione kama
nitaweza kukiona......