Je, unavutiwa na mwanamke/msichana anaevuta sigara au shisha?

PlayBoyMwema

JF-Expert Member
Jul 27, 2014
1,714
1,821
Kwa kweli hawa wanawake/wasichana wanaovuta sigara nimetokea kutowapenda hata sijui kwanini nahisi sigara zilitengenezwa kwa ajili ya kutumia sisi wanaume ila wanawake nadhani wanafosi tu hawapendez kabisaa kuvuta sigara... unakutana na msichana mzurii ile unaanza kuongea nae ghafla unasikia harufu ya sigara ikitoka kinywani mwake aarrgghh

kumbukeni nyie wanawake/wasichana ni maua ya dunia mnatakiwa mnukie sio kunuka mimoshi ya sigara
 
Kila binadamu na starehe yake
Alafu wapo wanaopenda wavuta shisha pia
 
Ukilala na demu anaevuta fegi asubui mdoma unanuka kama choo. Hata wanaume pia tunawakela sana wake zetu sema tu wanatuvumilia
 
Kila binadamu na starehe yake
Alafu wapo wanaopenda wavuta shisha pia
Afu wewe?ungejua jinsi comment zako zinavyonitia mshawasha warahi ungenihurumia japo ukaja PM nikupe yanayonisibu kuhusu wewe mwandani mamii.
 
Kwa kweli hawa wanawake/wasichana wanaovuta sigara nimetokea kutowapenda hata sijui kwanini nahisi sigara zilitengenezwa kwa ajili ya kutumia sisi wanaume ila wanawake nadhani wanafosi tu hawapendez kabisaa kuvuta sigara... unakutana na msichana mzurii ile unaanza kuongea nae ghafla unasikia harufu ya sigara ikitoka kinywani mwake aarrgghh

kumbukeni nyie wanawake/wasichana ni maua ya dunia mnatakiwa mnukie sio kunuka mimoshi ya sigara
Kwahyo unadhani sisi tunapanda mnavyonuka mi sigara hiyo?
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom