HadithiZaRuvuly
JF-Expert Member
- Apr 16, 2014
- 369
- 114
Ndugu jamaa na rafiki napenda kuuliza jambo kuhusu mahusiano eti mapenzi ya kweli ni
[emoji117] PESA
[emoji117] MOYO ??
[emoji117] PESA
[emoji117] MOYO ??
MoyoPenzi la kweli ni lipi? Tuanzie hapo
Nimeipenda hiyoKwangu mie ni moyo, pesa huisha bhana na ogopa upendo wa pesa asikudanganye mtu
Basi sawa! Pesa tupa kulee...Moyo
[emoji28][emoji28]mzee wa maji ya uhaimoyo muachie ben paulo.... mapenzi pesa either we kwenye dunia ya kuhonga au ukae kwa wanao hongwa.
ha ha ha ha yale maneno tu mama hayana ukwel wowote. hapa dasan na sparkling tu[emoji28][emoji28]mzee wa maji ya uhai
[emoji28][emoji28]ila nimekumiss aiseeha ha ha ha yale maneno tu mama hayana ukwel wowote. hapa dasan na sparkling tu
Mie hapa nyan'ganyan'ga ki ukwel miss u pia mama....[emoji28][emoji28]ila nimekumiss aisee
Kamoyo kadogoooooooookamoyo kwanza
[emoji8][emoji8]Mie hapa nyan'ganyan'ga ki ukwel miss u pia mama....