Tangu utotoni, watoto wasichana hufunzwa jinsi ya kujiweka safi na nadhifu wakati wote.Usafi huu pia unahusu sehemu nyeti; hakuna mwanamume atakubali kuwa karibu na mwanamke anayetoa uvundoUke wa...
Nipelekee kule chumban kwenu MMU, mimi nilikua na mtu wangu tunapendana sana tumekaa mwaka na nusu hapo alikua yuko Tanga me morogoro akahamia dar kikazi na mimi nikapata kazii dar tukapendana...
Habari zenu mama, dada, shangazi, bibi wote wa MMU.
Swali langu ni je kuna kuwa na agano lolote na mtu aliyewaingiza ukubwani?
nalisema hili kwa sababu kila siku napata mitihani mingi ya...
Ukweli usemwe na kila mtu upenzi wake katika suala la watoto japo mungu anakupa mtoto anaemtaka yeye na ni majaliwa pia. Wewe unampenda mtoto wa jinsia gani na kwanini ??
Mkutano ulifanyika ukihusisha viongozi wa sayari mbili. Waliamua kuanza utafiti wa kujua kama sayari zingine kunauwezekano wa kuishi. Wataalamu wa vinasaba walikuwepo wakielezea namna ya kuweza...
Nimekutana na huyu Baba Mchungaji,anamwaga neno kwenye ibada.Anasema wanawake wa TTCL walikuwa wanaolewa sbb walikuwa wanajiheshimu sana,lkn hawa mabinti wa Tigo 4G ni vurugu tupu mpaka wanakosa...
By Anthony Muhia
Irrespective of age, status, religion, we are likely to date six types of women.
1. The Dreamer
The world revolves around her. She believes of a perfect man. Somewhere in her...
Wakuu
Napata faraja sana ya maisha hasa baada ya kupitia mikikimikiki ya mapenzi, 96% ya akili yangu ilikua ikitumika kuwaza anayeitwa mwanamke niliempenda badala ya kuwaza mambo ya maana kama...
Wewe unanunua passo au vitz ya milion 5 mbwembwe nyingii...unaweka alarm...funguo unaficha mbalii...hutak mtu aiguse guse ...
Ila cha ajabu sasa wabongo wengi wananunua gari la milion 40 anampa...
Katika Pita Pita Yangu , Maeneo tofauti na hasa humu tunamoishi , kunavituko vingi vinaendelea Kwa hawa wanaojiita Madada Wa kileo, Yaani Ni Full Chenga Wengi wao.
Wakati mwingine Mpaka huwa...
Idadi ya wanawake wakatili wanaoua viumbe vilivyoridhiwa na mungu (kutoa mimba) inazidi kukua swali ni je sababu inayofanya watoe mimba ni kutokana na UGUMU wa MAISHA au WANAUME waliowapatia mimba...
Salaam..
Baada ya maswahibu mengi yaliyo nikuta kwenye mahusiano(wanao fuatilia nyuzi zangu wanafamu); Nimepata mpenzi mpya ambae kusema ukweli yuko tofauti na waliopita, yani anafaa kabisa kuwa...
Habari wanajamii mm ni mme wa mke mmoja na watoto watatu nimeoa mwaka 2000 hali ya maisha haikuwa nzuri kimapato nilijifunza mgambo mwaka 2000 mwaka 2004 nikaanza kazi ya ulinzi kampuni moja 2005...
Ndugu wana JF, Natafuta mke mwenye moyo wa kumpenda Yesu si kwa kuigiza, ili aje anilelee watoto vizuri .maana ktk malezi, mama ndo kilakitu kwakweli.
Dondoo:
Nina miaka 30, ni mtumishi wa umma...
Habari zenu wakina mama au wakina dada
Please naomba mnieleweshe hiki kitu, kuna umuhimu gani wa mwanamke mjamzito kuwa na mumewe karibu??
Nimeuliza hivyo kwa sababu nina ndugu yangu mjamzito...
Habari zenu wapendwa! Kama kichwa cha habari kilivyo je umeshawahi kuwa na rafiki, namaanisha urafiki wa kawaida tu yaani kwa mwanamke ni mwanamke mwenzio(shosti) na kwa mwanaume ni mwanaume...
Mshkaji kutoka Nigeria aliamua mwanamke ambaye ni rafiki Yake kama best man wake
Picha ya pili akiwa na mke wake
NINI mtizamo wako kwenye hili suala ni ishu AMBAYO Imekaa vizuri kweli au ni...