Gari la milioni 40 kapewa teja.

wiseboy

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
2,947
2,000
Wewe unanunua passo au vitz ya milion 5 mbwembwe nyingii...unaweka alarm...funguo unaficha mbalii...hutak mtu aiguse guse ...
Ila cha ajabu sasa wabongo wengi wananunua gari la milion 40 anampa teja amiliki tena muda wote hadi lizeeeke.....
Najiuliza gari ni kitu kinchosaminiwa sana na mtu yoyote akitaka kusafiri either kutoka kituo kimoja kwenda kingine au mtaa mmoja kwenda mtaa mwingine lazima utaona anaoga, anajiweka safi safi....cha ajab gari unaloenda kupanda unakuta linaendeshwa na dereva teja na konda teja...

Swali ninayojiuliza na naomba tusaidiane..

1. Je ni nn chanzo cha haya magari kuendeshwa na kusimamiwa na hawa mateja??
2. Je hakuna vijana wasafi watanashati wanaweza kurun hii huduma ya usafiri.

3. Je ni kwa nn madereva na kondakta hasa kondakta lazima afungie suruali kitambaa ama kamba ya katani na surual kuwa inalegea...

4. Kwa nn wachafuuuu na kauli zao chafu.
Nini tufanye ili hii huduma muhimu ambayo watumiaji wanajali usafi ila waliomo ndani ya gari hawajali usafi na utu.
Kama uko kwenye daladala tunaomba utupie picha ya konda alivyo vaa hapo sasa hivi
 
denoo49

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
6,111

Hii haina tofauti na wewe ambaye huwezi kumuachia house girl wako ATM card ila unamuachia mtoto wako wa kumzaa mchana kutwa.
 
wiseboy

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
2,947
2,000
hahaaa Arusha mm mwenyeji mkuu pia hapo......isipokuwa ni wale wale kaweka tambaa kuubwa mfukoni linaning'inia na viatu vikuubwa na uchafu ule ule.

Njoo arusha uone walivyo wasafi wa lugha na mavazi huku wakimiliki smartphones
Labda ni nature tu ya huo mji, uchafu[/QUOTE
 
Roger Sterling

JF-Expert Member
May 10, 2015
12,311
2,000
Njoo arusha uone walivyo wasafi wa lugha na mavazi huku wakimiliki smartphones
Labda ni nature tu ya huo mji, uchafu
Arushanians got dope stigity embedded in their DNA. Napenda tu muda wa kudai nauli, "jombaa hebu letaga hizo majasho zetu". Nimei-miss A-town, sana.
 
Roger Sterling

JF-Expert Member
May 10, 2015
12,311
2,000
Hao watu wengi wako walivyo kwa sababu kazi yao haiwalipi kuwaruhusu kuwa wasafi inavyotakiwa.
 
R Mbuna

JF-Expert Member
Dec 30, 2015
2,162
2,000
Mkuu hii sekta nahisi bado haijarasimishwa hasa wa hawa mondakta wa daladala.

Siku zote mwenye gari anamuachia gari dereva so dereva ndiye anayetafuta kondakta ili apate hela nzuri na aweze kumdhibiti huyo msaidizi wake ndio anatafuta hao walikata tamaa ya maisha.

Ila ingekuwa ni ajira rasmi kama vile kuendesha gari za BRT sidhani kama wangekuwa wachafu hawa vijana.

Siku hizi mpaka makondakta wa uda nao wameshakuwa wachafu zile sare zao wakati zilipokuwa mpya ziliwapendeza sana ila sasa hivi zimepauka na zina viraka wengine wanazifunga na mipiria au katani kiunoni basi ili mradi shida tupu.

Uchafu nahisi kwenye hili jiji letu ni jadi wala sio kingine.
 
mbeyakwetu

JF-Expert Member
Dec 17, 2016
672
500
Hii haina tofauti na wewe ambaye huwezi kumuachia house girl wako ATM card ila unamuachia mtoto wako wa kumzaa mchana kutwa.
mkuu wewe umeongea kitu muhim sana Leo yaan tunaweza kumuachia mtoto mpk jion lakin ATM card hata kwa saa tu hatuwezi kumuachia
 
Makoo

JF-Expert Member
Apr 30, 2012
401
500
Mkuu idadi ya Watz ni mil 40 dereva wetu na Kondakta wote wasafi,Lugha zao nzuri gari safi speed 50KPH. Sorry wrong chat.
 
wiseboy

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
2,947
2,000
kazi sana yani mtu anakudai hela unatamani usimlipe vile alivyo mchafuuu na hasa ukiwa mmebanana mmesimamam anajipenyeza katikati kudai hela daah hata hajali....lakini pia umesema mkuu dereva apate hela nzuri anamtafuta teja..kwani kati yadereva na konda nani anakusanya hela, si konda dereva anajuaje trip hii imeingia kiasi kadhaa?

Mkuu hii sekta nahisi bado haijarasimishwa hasa wa hawa mondakta wa daladala.

Siku zote mwenye gari anamuachia gari dereva so dereva ndiye anayetafuta kondakta ili apate hela nzuri na aweze kumdhibiti huyo msaidizi wake ndio anatafuta hao walikata tamaa ya maisha.

Ila ingekuwa ni ajira rasmi kama vile kuendesha gari za BRT sidhani kama wangekuwa wachafu hawa vijana.

Siku hizi mpaka makondakta wa uda nao wameshakuwa wachafu zile sare zao wakati zilipokuwa mpya ziliwapendeza sana ila sasa hivi zimepauka na zina viraka wengine wanazifunga na mipiria au katani kiunoni basi ili mradi shida tupu.

Uchafu nahisi kwenye hili jiji letu ni jadi wala sio kingine.
 
wiseboy

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
2,947
2,000
hahaaaaa umenichekesha sana mkuu......inanikera moyoni vile isivyokawaida

Mkuu idadi ya Watz ni mil 40 dereva wetu na Kondakta wote wasafi,Lugha zao nzuri gari safi speed 50KPH. Sorry wrong chat.
 
R Mbuna

JF-Expert Member
Dec 30, 2015
2,162
2,000
kazi sana yani mtu anakudai hela unatamani usimlipe vile alivyo mchafuuu na hasa ukiwa mmebanana mmesimamam anajipenyeza katikati kudai hela daah hata hajali....lakini pia umesema mkuu dereva apate hela nzuri anamtafuta teja..kwani kati yadereva na konda nani anakusanya hela, si konda dereva anajuaje trip hii imeingia kiasi kadhaa?
Mkuu driver wengi wa hizi daladala wanajua kwa ujazo huu sikosi hesabu fulani so kondakta hata akisema abane hela haizidi buku mbili.

So mwisho wa siku baada ya kutimiza hesabu ya tajiri wao ndio wanagawana dereva lazima azidi kwa sababu ndiye boss hapo.
 
GHIBUU

JF-Expert Member
Jan 13, 2011
4,290
2,000
Kuna mpango wale wajitao wasafii wasafii wakspewa hii tenda na serikali
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom