Swaga mbovu za Madada wanaojiita wasomi na Wanaonda na wakati

tzfanatic

JF-Expert Member
Aug 24, 2015
624
500
Katika Pita Pita Yangu , Maeneo tofauti na hasa humu tunamoishi , kunavituko vingi vinaendelea Kwa hawa wanaojiita Madada Wa kileo, Yaani Ni Full Chenga Wengi wao.

Wakati mwingine Mpaka huwa Najiuliza hivi kweli Ndo effect ya Elimu , Maana hazina Tofauti Na yale niliyo yaona kwenye Mashairi Ya lawino And Okol .

Ngoja Niende Kwenye Mada, swaga za Madada wa majini Zinaboa Kinouma, nouma Hasa Hawa wanaojiita Wasomi, Humu Kwenye Maofisi Na hata hawa Masista Du , Uchwara Ambao wengi Wao ni Wakutoka Mbwinde, na Kuja Mjini Kwa simu.

Una Mkuta Mdada Ama Mmama Mtu mzima Kapiga Min Skirt Size Ya gauni La mtoto wake wa Miaka Mitano. Yeye Kalivaa, Pila Hata Haya usoni anatembea Mtaani, ama Babarani, Ananbetua Mzigo, Juu chini afu Sura Ngumu Kama , Miogo Ya Kayumba.

Tabu Inaanza Anapodondosha Kitu chochote ama anavopanda dala dala Mara Amanue Mara Afunike , pozi zinamwishia Ukimuangalia sana Anaanza kujistukia.

Masista Du, Majimama , Na wale Dada Zetu wasomi Mnaofanya Kazi Kwenye Maofisi, embu Vaeni kieshima kwani mwapungukiwa nini??

Na nyie Madada Mnaovaa Zile IJabu Embu Vaeni zile Za kisheria Sio unafunika Kichwa Unaishia Kwenye mabega Mikono yote Nje!!!

Acheni Hizo mambo Mnazingua Aiseee.......Vijana Katika Kazi Wataendelea Kuwavua Tu Vyupi......then watasepa......
 

princess ariana

JF-Expert Member
Aug 19, 2016
5,771
2,000
mimi nashangaaga! hata humo kwenye ma club mtu mpaka avae nusu utupu...
kuna haja gani ya kuvaa hivo?
kwani ukivaa highwaist yako na top kali hawatakuona?
kuvaa nusu uchi ni ulimbukeni, na kutokujiamini na kutojiheshimu!!!
wanawake tunaojiamini hatuvai nusu utupu.
Tunajiheshimu, Tunajikubali
hatuendi na wakati uchwara.
 

scorpio me

JF-Expert Member
Aug 2, 2016
5,723
2,000
yani hao wa hijabu hua nacheka sana....kuna rafki angu me nshawahi mwambia bora tu uvae ka mimi mana tofauti yetu ni kakitambaa kake ka kichwani tena kadunchu kweli duh...
 

Nokia83

JF-Expert Member
Jan 16, 2014
24,629
2,000
Kusema ukweli mm sipendi kuona hayo mavazi haswa maofisini

Sijawahi kuwa na mwanamke anayevaa hivyo kbs na sidhani kama ntavumilia hali hiyo.

Jmosi nmeingia tawi moja la crdb nkakuta mdada kavaa hivyo anatuhudumia halaf kaolewa...
 

Joanah

JF-Expert Member
Aug 14, 2016
14,939
2,000
Unavaaga hivyo?!

Halaf ustadh kakuita kwny uzi wake kule
Hapana
Sio mavazi yangu kabisa hayo

Hahahahhh
Nimeona kaniita na nimeona umejiuliza kama mi mpenda umbea

Naona ustadh leo yupo katika uhitaji mkubwa wa BAN
 

MO11

JF-Expert Member
Mar 23, 2014
17,459
2,000
kama hampendi mimi napenda na wengi pia wanapenda sana muda mwingine unamkuta mdada unaanza kuomba upepo uje au aangushe kitu ili uone yaliomo
 

Hatugombani

JF-Expert Member
Jun 15, 2013
981
1,000
wadada wengi wamekosa bahati ya kuolewa na wanaume wenye heshima na nidhamu kwa sababu ya mavazi yao yanayotafsirisha kama machangudoa a.k.a malaya
 

mzabzab

JF-Expert Member
Aug 18, 2011
9,888
2,000
mimi nashangaaga! hata humo kwenye ma club mtu mpaka avae nusu utupu...
kuna haja gani ya kuvaa hivo?
kwani ukivaa highwaist yako na top kali hawatakuona?
kuvaa nusu uchi ni ulimbukeni, na kutokujiamini na kutojiheshimu!!!
wanawake tunaojiamini hatuvai nusu utupu.
Tunajiheshimu, Tunajikubali
hatuendi na wakati uchwara.
wasiobarikiwa figure bwana utawajua tuu. wewe u got it flaunt it, men wana see skin gal. u gotta titilate me abit.
plus who told u kwa club naend atafuta wife, natafuta a sexy lady to gegeda bana. anyways cute face
 

Shadeeya

JF-Expert Member
Mar 12, 2014
39,031
2,000
Wengi wanajitoa ufahamu na hii yote ni kushindwa kuelewa kwamba unapovaa nusu utupu unadharaulika na si kuheshimika.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom