Unampenda mtoto yupi wa kike au wakiume ?

RUVULY

JF-Expert Member
Apr 16, 2014
369
250
Ukweli usemwe na kila mtu upenzi wake katika suala la watoto japo mungu anakupa mtoto anaemtaka yeye na ni majaliwa pia. Wewe unampenda mtoto wa jinsia gani na kwanini ??
 

Sir_Mimi

JF-Expert Member
Jun 21, 2013
6,249
2,000
Bora kumwachia Mungu aamue mwenyewe tu,wawezà'kuchagua ukajikuta hutii hata mimba ya kusingizia kama sio mtoto kufa kabla hajazaliwa.mtoto ni mtoto alimradi amekuwa na maumbile ya kibinaadam.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom