Ushauri unahitajika, mambo yamenifika shingoni

KAMINYINGE

Member
Mar 8, 2013
64
95
Habari wanajamii mm ni mme wa mke mmoja na watoto watatu nimeoa mwaka 2000 hali ya maisha haikuwa nzuri kimapato nilijifunza mgambo mwaka 2000 mwaka 2004 nikaanza kazi ya ulinzi kampuni moja 2005 nikahamia nyingine tatizo langu mke wangu amekuwa na matumizi mabaya sana ,tumejenga nyumba1 kinachofanya nilete hii threed ni kwamba wakati nafanya kazi nilikuwa naweka ppf na ilipofika mwaka jana nilichukuwa fao langu la kujitoa kama 3milion nikapeleka kwa mke wangu tuzifanyie biashara ya kukopesha nilimpa 2milion kulingana na utaratibu wa kazi tunaishi mikoa tofauti tulihamia mkoa mwingine sasa mwaka 2015 nikarudishwa mkoani kwetu wife na watoto wakabaki mkoa ule ambako nilikuwa awali nilikuwa karibu sana nao kwa matumizi ya msingi yote kuanzia mavazi chakula na mahitaji mengine ya nyumbani na shuleni tulipokopesha hizo 2milion nikamwambia malejesho apeleke bank lakini kinyume chake akawa anasema hajalipwa nilipofuatilia wateja wamelipa wote na hela ametumia zote nilipo fuatilia zaidi nikakuta amekopa madeni kwa watu binafs finca brack kiasi cha madeni yote siyo chini ya milioni moja na riba inaendelea na alipokuwa anakopa alikuwa anasema hana mme kwamba tulishatengana alijaribu kujiua ikashindikana sasa yupo nyumbani na hali yetu siyo nzuri siku nyingine tunakosa hata chakula na matumizi mengine amekuwa mharibifu wa fedha matumizi yake siyo mazuri vyombo vya ndani kama kochi ameuza na vilivyopo ndani ameweka lehani wenye mikopo walipotaka kushika niliweka pingamizi mambo ni mengi nimedonoa kiasi naombeni ushauri jamani naishi maisha magumu kazi ya kulala njee nimechoka(ulinzi)
 
Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
86,642
2,000

Aisee!

Uandishi gani sasa huo?

Hakuna koma, hakuna nukta, haijulikani sentensi imeanzia wapi na imeishia wapi....

Tuna majanga mengi mno nchi hii!
 
octaviankweka

Member
Oct 17, 2015
92
125
Mpe talaka mrudishe kwao akalime mihogo

Halafu Ww jamaa bwege sana hizo 3million ulishindwa vp kununua bodaboda au unapenda sana kung'atwa na mbu
Hahaha lakini kweli au bajaji, tena bajaji angeendesha yeye mwenyewe ingemlipa sana
 
KAMINYINGE

Member
Mar 8, 2013
64
95
Hahaha lakini kweli au bajaji, tena bajaji angeendesha yeye mwenyewe ingemlipa sana
ninge huwa inakuja mwisho wa mchezo nilidhamilia kununua hata boda boda wife akanishauri kwamba matukio ya kuporwa boda boda yamezidi hivyo nikaahirisha nimejifunza sana kupitia hili
 
Mr Mav

JF-Expert Member
Nov 18, 2016
446
250
Nouma Nouma Nouma Nouma sana Bobuuu, ni story inaonekana ila kiukweli nyumba zinaficha mengi..Fanya unachopenda.
 
Ncherry1

JF-Expert Member
Jun 15, 2016
1,967
2,000
Maskini pole... Even biblia inasema mwanamke mpumbavu huibomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe
 
Blood of Jesus

JF-Expert Member
Sep 19, 2016
1,196
2,000
Njooni kwa YESU, muanze upya naye., nakuhakikishia kila kitu kitakwenda vema!. Huna haja ya kupanic- pesa huwa zinatafutwa. Kumbuka watoto mliowazaa wanahitaji malezi yenu baba na mama.
 
KAMINYINGE

Member
Mar 8, 2013
64
95
Njooni kwa YESU, muanze upya naye., nakuhakikishia kila kitu kitakwenda vema!. Huna haja ya kupanic- pesa huwa zinatafutwa. Kumbuka watoto mliowazaa wanahitaji malezi yenu baba na mama.
Huko kwa yesu tupo siku nyingi tena yeye mwimbaji mzuri wa kwaya kubwa hapa mkoani
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom