myself scenario
JF-Expert Member
- Jul 5, 2015
- 347
- 213
Salaam..
Baada ya maswahibu mengi yaliyo nikuta kwenye mahusiano(wanao fuatilia nyuzi zangu wanafamu); Nimepata mpenzi mpya ambae kusema ukweli yuko tofauti na waliopita, yani anafaa kabisa kuwa wife.
Tatizo linakuja kwenye kabila lake..ni kabila linalo sifika kwa kuchepuka na hata home huwa nasikia ndugu wakipiga story za kabila hilo huku wakiliponda sana.. Sasa leo najiuliza itakuaje nikiwapelekea mchumba kutoka kabila hilo.. Nahisi vizuizi vitaanza au hata wasipo weka vizuizi basi watakua wana ning'ong'a sana..
NB: Sijalitaja kabila kuepusha mpasuko humu.. Mimi ni msukuma OG kabisa.