SWALI KWENU WADADA; YULE ALIYEKUINGIZA......!!?

Jurrasic Park

JF-Expert Member
Sep 13, 2013
3,770
2,000
Habari zenu mama, dada, shangazi, bibi wote wa MMU.

Swali langu ni je kuna kuwa na agano lolote na mtu aliyewaingiza ukubwani?

nalisema hili kwa sababu kila siku napata mitihani mingi ya mahusiano. nilipompata huyu niliye naye na baada ya ya kwenda naye kujitambulisha ukweni nilipatwa na mshangao. katika tembea tembea mara ghafla mwandani wangu akastuka na ka jasho kwa paji la uso(kama nd linaanza) japo alijikaza ili nisijue lakini nilishaelewa mchezo nikatulia kama sijaona kitu. sasa mimi na ushushu wangu nikafanya mpango wa kutaka kumjua vizuri. nikafanikiwa kumpata rafiki yake na yule jamaa tukapita sehemu tukanywa mbege na maswali yangu ya kuzuga ndipo nikapata ka ukweli(sina uhakika saaana) kuwa jamaa yule alimtoga usichana wake. sasa nd nikapata picha na siku ile niliyokutana nacho. embu msaada kwenu kuna kama connection au kuna nini haswa na first love?
asante
 
Joanah

JF-Expert Member
Aug 14, 2016
14,905

Hivi ni hili game nalocheza hapa huku nachat ndo imenifanya nipoteze concentration katika hii thread yako ama?

Kichwa cha thread kimeeleweka ila maelezo yake sasa sijayaelewa
 
Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
23,512
2,000
Hivi ni hili game nalocheza hapa huku nachat ndo imenifanya nipoteze concentration katika hii thread yako ama?

Kichwa cha thread kimeeleweka ila maelezo yake sasa sijayaelewa
Umeelewa unazuga tu
 
APEFACE

JF-Expert Member
Oct 1, 2016
3,506
2,000
hata Damu ya Yesu msalabani ilikuwa agano na wanaadamu kuwa wamekombolewa....hata unavomtoa bikra msichana na damu ikamwagika kuna agano kati yako na yeye japo kuwa haipo kimaandishi...
 
AL SADY OLPLANER

JF-Expert Member
Nov 21, 2016
294
250
Sema mtu wa kwanza kumkaza sio first love
PILATO wakwanza wakwanza ..tu tulizee sie tuliwapata hapo ....UJUE NYOKA UKIFUGA NYUMBANI HATA MIAKA MIA UKIMUACHIWA TU ANARUDI POLINI ..." hata akiolowa jua cha kwanza kilee hawezi kukisahau .kwanza hiyo purukushani yenyewe inakuwaga sio ya kitoto sasa sikwambii ukamkamatia ANGLES KAMA 45.3° happo ndoo mama yangu weww
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom