Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Si mara yangu ya kwanza kujitokeza hapa katika jukwaa hili. Natafuta rafiki wa kike anayejitambua, awe matured kiakili na kimwili! napenda mtu mkweli mcha Mungu wa kweli, mwenye elimu ya kidato...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
I hope mpo salama, Nahitaji ushauri kwa hili mimi ni kijana wa kikristo na ukoo wangu ni wa upande huo, lakini katika malengo yangu nimepanga kuoa au kupata mwanamke wa Kiarabu, Kihindi nikikosa...
0 Reactions
44 Replies
10K Views
Wakuu, mimi nashindwa kuelewa inakuaje kila msichana nayemtongoza ananambia ana mtu. Niko chuo mwaka wa kwanza hadi sasa nimetokea wasichana kama watatu ila kila mmoja ananambia ana mtu na...
7 Reactions
245 Replies
17K Views
Habari ladies an gentleman, Yap, Nikiwa nafanya kazi kwa boss mmoja pale Boda, Pale nyumbani kulikuwa na ka house flani hivi... Basi bwana mi ndo nakatamani, nakamendea, ninaugwadu nako ile...
22 Reactions
69 Replies
11K Views
Wakuu wa Jukwaa La Malavedave; Bila ya shaka wengi mmewahi kutuma au kupokea SMS za Mapenzi kuhusiana na subject mbalimbali katika mapenzi. Hata hivyo kuna zile ambazo zinafurahisha sana na pia...
6 Reactions
303 Replies
375K Views
Mimi Nina nia ya kuoa Zanzibar lakin mpaka sasa hatakufika sijawahi wala kukutana na mzenji,nia YANGU itafikia malengo?
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wanajamvi! Awali ya yote ningependa niwatakie heri ya krismass. Mimi ninatatizwa na jambo moja, nalo ni kwamba nimetokea kumpenda binti mmoja hivi lakini wakati najaribu kufuatilia nyendo zake...
0 Reactions
67 Replies
5K Views
Wasalam Mjini hapa pesa ndio kila kitu na kila mbuzi atakula kwa urefu ya kamba yake.... hii mada najua watu wengi itawatoa povu sana mjini hapa kwa siku ya leo ila naomba tu nieleweke kizazi...
4 Reactions
63 Replies
14K Views
Jana nimefanikiwa kuona x ya kibongo ambayo wahusika wamerekodiwa bila kujijua inasemekana ktk lodge nyingi wametega kamera za ukutani na Mara nyingine watu wa chabo kufanya kazi hiyo. Katika...
13 Reactions
76 Replies
12K Views
Wanawake wenzangu hii ni week end inaanza leo kuna hizi saloon za kiume ambazo zinawahudumia wanaume kwasehemu kubwa zimekuwa majanga Mwanaume akishaa anza kushikwa anakubali kila kitu nasikikia...
12 Reactions
176 Replies
31K Views
Mwaka jana mwishoni hubby na watoto walienda likizo kijijini kama utaratibu wa kila mwaka, nyumbani tukabaki mimi na msichana wa kazi, sikupewa likizo kazini, siku moja msichana wa kazi alinifuma...
10 Reactions
504 Replies
75K Views
Jaman nn hatua njema ya busara ya kuchukua pale mpenz wako anapokusalit??
3 Reactions
47 Replies
6K Views
Jamani hiki kiitwacho wadudu wanaonyevuanyevua a.k.a ny-ge ni hatari na yanaweza kukudhalilisha yamenikuta mwenzenu. Mi naishi Sinza nyumba ya tatu baada ya hotel ya vatcan city nimepanga kwa...
63 Reactions
168 Replies
20K Views
Hello jf,watu wengi huwa wanadai kwamba ni ngumu sana kumuacha mwanaume au mwanamke wako wa kwanza aliyekubikiri na hata mkiachana au akikuacha bado utamkumbuka tu na itakua ngumu kumsahau kwa...
8 Reactions
176 Replies
39K Views
Naomba tu kujua kuwa endapo utamfumania Mkeo ' anabanduliwa ' mubashara kabisa na ' Njemba ' utadhibiti vipi hasira zako kali ili usimdhuru? Nimelileta hili kwenu baada ya taarifa zangu za '...
1 Reactions
31 Replies
4K Views
Hivi kuna mwanaume anapenda kuchapiwa mkewe yaani mkewe akichapwa anajisikia raha, Ulaya wapo wanaitwa ''cuckold couples''. Je, Africa wapo na kama hawapo utamaduni huu utaanza lini?
1 Reactions
65 Replies
7K Views
Mwanamke akikupenda, anapenda kweli na akikudanganya anakudanganya kwelikweli nje ndani. Mwanamke akikupenda, hata uwe dereva wa bodaboda yeye ataona amepanda hummer, atakukumbatia kwa mahaba...
6 Reactions
27 Replies
3K Views
Wakuu, Nilimpenda sana msichana kipindi cha zamani, tukiwa form one. Dada akawa ananiletea mapozi kishenzi, tukapotezana baada ya kila mtu kwenda kusoma high level mikoa tofauti. Tumekuja...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Habari wanajamvi, Kwa kweli nina tatizo la kupendwa na wake za watu, na mpaka hapa nishachangia kuvunja ndoa tatu katika maeneo tofauti. Na kwa sasa kuna wawili wananiwinda kwa udi na uvumba...
0 Reactions
56 Replies
6K Views
Habari zenu wana jamvi, katika group letu Moja la WhatsApp nimekutana na hii mada iliyoniacha mdomo wazi. Mwana group mmoja kaomba ushauri,kila wakiwa msambwandeni kwa Fundi seremala uwanja usio...
8 Reactions
109 Replies
19K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…