Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

I was joking!!!!!!!!!!!!!!! :target::sorry: :hurt: :wave:
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wanajamvi, Nimeoa miaka 2 iliyopita. Changamoto kubwa niliyonayo ni huyu mwanamke nimemfungulia kaduka. Basi dharau zimezidi hatari, ananijibu anachotaka. Nikimuuliza mahesabu kuhusu duka...
5 Reactions
266 Replies
24K Views
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza Wadau, nipo kwenye Mchakato karibu sana.
0 Reactions
31 Replies
2K Views
HABARI WANA JF HONGERA KWA WALE wote walio sherekea bila kugombana Ila walio gombana na kukwaruzana wasamehane mwaka ndo huo unaisha jamani
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hellow JF Baada ya kupost UZI sehemu ya kwanza Kumuelewa mwanamke pita hapa, Hii ni sehemu ya mwisho , Kwa wenye nia ya kujifunza hakika watajifunza mengi bila kupoteza muda songa nayo hapa...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Poleni na uchovu wa jana na juzi, Yametokea malalmiko makubwa kutoka kwa akina dada kwamba mwanaume amemfatilia kwa muda mrefu lakini baada ya kummega tu hajarudi tena,ingawa kunaweza kukawa na...
2 Reactions
14 Replies
7K Views
Natafuta mke wa kuoa. Akipatikana ndoa haraka. Awe msomi kuanzia degree. Kipato kinachijitosheleza. Awe na upendo. Umri kuanzia miaka 29 Mkristu au awe tayari kujadili dini. I'm Umri wangu nini...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Ni mara ya kwanza naandika Habari kuhusu familia yangu. Nimeishi na mke wangu takribani miaka mitatu Sasa cha ajabu naona tunaishi kwa kuvumiliana, zile feelings za upendo zimeisha na tatizo ni...
1 Reactions
96 Replies
12K Views
Maana herb clinic zimekuwa nyingi kitaaaa mpaka sielewi naskia wanatibu kabisa sio za kuongeza hapohapo kama viagra... Na kwann hii biashara imekuwa kubwa ivi
0 Reactions
0 Replies
961 Views
Wakuu msaada: Nina girlfriend ambaye nimeishi naye takribani mwaka na nusu sasa. ila mpenzi wangu huyu kuna tabia moja ambayo siipendi, kwani kwa sasa wote tunaishi sehemu tofauti tofauti...
2 Reactions
62 Replies
10K Views
WANAUME jitahidini kidoogo kuwa Romantic lasivyo hali itakuwa mbaya kwenu..Ulivyokuwa unamtokea mdada wa watu ulimjali..kila saa message...Umeku la..twende lunch..I love you za kumwaga kama...
10 Reactions
71 Replies
9K Views
Ndio wametuzaa wanatujua kila tunalotaka kulifanya tusijiongopee eti tumewazidi kwa hizi elimu zetu za hapa duniani,wao ndio kila kitu wakiamua kutushusha wanaweza wakiamua kutupandisha wanaweza...
0 Reactions
2 Replies
697 Views
Na alaaniwe amdharauye baba yake au mama yake. Na watu wote waseme, Na iwe. Na alaaniwe ampotezaye kipofu akakosa njia. Na watu wote waseme, Na iwe. Na alaaniwe apotoaye hukumu ya mgeni, na...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Update 4: Married for almost 2 years Update 3: We are officially engaged to be married. Glory be to God. Update 2: Nimepata rafiki hapa Jamii forum. Bahati nzuri anaishi mkoa ninaoishi mimi. So...
33 Reactions
347 Replies
23K Views
Hey mambo;!! Hivi mnakumbana na kero zipi kwenye ndoa? Je unapenda kulala kitanda kimoja kila siku na mmeo? Kwanini kusiwe na vitanda viwili chumbani ili kuna muda au siku nyingine kila mtu alale...
3 Reactions
179 Replies
17K Views
Habarini wa MMU mwaka umeisha sasa...kama ilivyo kawaida kila mtu mwaka huu kapitia changamoto mbalimbali...ingekuwa ni vyema sana kama kila mmoja wetu tungetumia thread hii....ku share changamoto...
8 Reactions
151 Replies
11K Views
Wenzako wanapokea mshahara Milion tatu kila mwezi na bado wako single, wewe unapokea mkopo wa chuo unatuambia unataka kuoa....!! Ulitakiwa upigwe KOFI la kichwa ku- restore settings...
17 Reactions
27 Replies
4K Views
Kumekua na mijadala mingi kuhusu hili suala na tena nimekua nikibisha sana kwamba ukioa mwanamke ambaye hukumtoa usichana wake hata weza kukusaliti kwa yule aliye mtoa usichana wake. Leo sina...
1 Reactions
58 Replies
10K Views
Ni ukweli usiopingika kuwa asilimia kubwa ya Dada zetu hupenda sana chips mayai, chipsi kuku Imefikia wakati wako radhi kula chakula icho hata Mara tatu kwa siku na hata mwezi mzima. Hivi kuna...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Heri ya sikukuu Wakuu. Mimi ni kijana wa Miaka 24. Kuna tatizo nimekumbana nalo janaa. Nilipata kadem kadogo around 19y juzi. Nilikasomesha freshi kakanielewa. Nilikapeleka ndani tukaanza mambo...
1 Reactions
45 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…