Kuna watu Wanapokea Million 3 kwa mwezi

Wenzako wanapokea mshahara Milion tatu kila mwezi na bado wako single, wewe unapokea mkopo wa chuo unatuambia unataka kuoa....!!

Ulitakiwa upigwe KOFI la kichwa ku- restore settings. [HASHTAG]#Pumbavukabisa[/HASHTAG].

Ukiona mtu ana mshahara unaokizi mahitaji,lakini bado mtu yupo single,hapo kuna walakini si bure.
 
Hayo mambo ya whatsApp unayaleta jf,soma dogo ukidisco usianze kumlalamikia ndalichako
 
Back
Top Bottom