No Escape
JF-Expert Member
- Mar 7, 2016
- 6,663
- 7,774
Ndio wametuzaa wanatujua kila tunalotaka kulifanya tusijiongopee eti tumewazidi kwa hizi elimu zetu za hapa duniani,wao ndio kila kitu wakiamua kutushusha wanaweza wakiamua kutupandisha wanaweza! Tuwaheshimu tusije pata laana ya milele....Hii ndio salaam yangu ya mwaka mpya kwa wana J.f wenzangu....Ahsanteni kwa kuja.