Wazabanga kuku
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 264
- 378
Habarini wadau,jamani nna tatizo la kuchelewa kukojoa hasa kuanzia goli la pili na kuendelea yani nikiwa namla demu kulipata goli 2 3 4 5 6 inachukua muda mrefu yani zaidi ya dk 35 kupata goli hadi demu anachoka yani ananifikia kilele zaidi ya Mara 4 mi nakua nimeenda Mara 1 au 2 ,hali hii sijui inasababishwa na nini wataalamu niambieni manake nahisi sasa mademu wataniogopa