e2n
JF-Expert Member
- Dec 24, 2015
- 637
- 793
Heri ya mwaka mpya wanajamvi,
Mimi ni kijana ninamiaka 27, ninarafiki yangu wa kike ambae ambae anataka nimpe mimba. Ila ubaya mimi sina mtoto na wala sijaoa ila yeye aliolewa na anawatoto 4. Sasa anadai anahitaji mtoto toka kwangu kulea anasema atalea mwenyewe.
Naombeni ushauri maana hali hii nimekutana nayo kwa wanawake wengi sana. Huwa nawakatalia sasa naona inajirudia.
Nisaidieni wakuu.