Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,423
- 39,502
Habarini Wakuu,
Mada yangu inaanza kwa maswali yafuatayo:-
Hivi inamaana kweli hakuna Wanawake Mabikira sikuhizi?
Hivi kweli hakuna Wanawake wanaojiheshimu na kuheshimu ndoa zao kiukweli kiasi cha kukataa kutoa papuchi kwa asiye mume wake?
Hivi kweli hakuna Wanawake ambao binafsi wanapenda kuzaa mtoto/watoto ila wasiishi katika ndoa ila waishi single kama lifestyle waliouchagua?
Mbona hali ya kusema kuwa:
"HAKUNAGA BIKRA TENA" imetamalaki na wanaume tumeshaamini kuwa HAWAPO KABISA?
★ Inamaana hakuna wanaomheshimu Mungu na wakabaki na bikra zao hadi ndoa?
PIA, mbona mwanamke akiwa single ila ana mtoto huwa tunaona lazima tu ni Jipu lililotumbuliwa?
◆ Hali kama hii ya kukata tamaa ndio inasababisha wasichana wengi wasione hata umuhimu wa kujitunza/kutunza bikira zao tena.
Wadada Mliojitunza kwa kumheshimu Mungu kweli hampo tena?
Natafakari.