Usiwaze Sana: Hawa ndio watu wa kuwapunguza katika maisha yako

STUNTER

JF-Expert Member
Dec 15, 2015
13,076
17,246
Kuna watu tumewaruhusu Wawe Shareholders
kwenye Maisha yetu lakini HAWANA FAIDA HATA
1....
---Hawajawahi KUKUPA HELA
---Hawajawahi kukupa DILI LA HELA
---Hawajawahi kukupa Ushauri wowote wa Kimaisha au Kiuchumi
---Hawajawahi kukutambulisha kwa mtu yeyote
Productive in Life
---Hawajahi kukuMOTIVATE Chochote
---Hawajawahi kukuINSPIRE lolote
---Hawajawahi kukuCRITICIZE pale unapokosea....WAPOWAPO TU!!
Watu wa aina hii, ikitokea Mungu anawaondoa in your
Life unapaswa UFANYE SHEREHE KUBWA SANA!!
They are simply STUPID AND USELESS! Kwa muda
mrefu wamekuwa wakiOCCUPY MB za Kutosha
kwenye Maisha yako bila sababu yoyote na Tumewaruhusu wakati kuna watu wa maana
wako pembeni lakini1 wamekosa nafasi ya Kuingia
kwenye Maisha yetu,ambao wangekuwa Msaada
Mkubwa na Life Changers kwa sababu Nafasi
Zimejaa Wapuuzi wasio na Faida yoyote..
When God takes Away these Idiots in ur life, THANK HIM kwa sababu anakutengenezea Nafasi ya wewe
kukutana na watu WAPYA ambao wataleta
Mabadiliko kwenye maisha yako completely...
Hakuna haja ya kuwa na watu waliokuzunguka
WEEEENGII wasio na Faida,Ni Heri wawepo
wachache au Heri uwe PEKE YAKO lakini Unajua unachofanya...
Mungu na akusaidie kutambua Nani ni Boya la
Kulitosa Baharini na Nani ni Boya la Kuvaa ili
likuokoe... YA MOYONI
 
Mungu alimuumba mwanadamu kwa mfano wake,
Ukimchukia binadamu mwenzako ni sawa na kumchukia mungu,
Watu ni rasilimali, watu ni hadhina, watu ni mtaji, watu ni kisima cha maarifa,
KILA MTU ANAUMUHIMU WAKE,
Mfano JF ni watu japokuwa huwajui na wala hujawahi kusoma post zao lakini still bado wanaumuhimu kwetu,
NAYEHESHIMU MAWAZO YAKO,
Lakini jaribu kutafakari pia.
 
Mungu alimuumba mwanadamu kwa mfano wake,
Ukimchukia binadamu mwenzako ni sawa na kumchukia mungu,
Watu ni rasilimali, watu ni hadhina, watu ni mtaji, watu ni kisima cha maarifa,
KILA MTU ANAUMUHIMU WAKE,
Mfano JF ni watu japokuwa huwajui na wala hujawahi kusoma post zao lakini still bado wanaumuhimu kwetu,
NAYEHESHIMU MAWAZO YAKO,
Lakini jaribu kutafakari pia.

hakuna umuhim wowote wamtu, ambae hana umuhim kwako. fukuzia mbali kabisa.... wapuuuzi
 
Lkn pia sio lazima wewe usubiri kufanyiwa hayo yote, yaani wewe tu.ndo ushauriwe, wewe tu ndo unataka watu wakupe walivyonovyo..Noooooo plz....wewe wape huo ushaur wale ambao hawana..ili urafiki.uendeleee.....
 
bora waseme naringa ila najiepusha na mengi..haina unuhim na mtu anae kuoa ratiba za kujirusha viwanja kila siku
 
Back
Top Bottom