Wazabanga kuku
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 264
- 378
Habarini wadau,Nina rafiki angu ambae tunafanya kazi pamoja ana tabia ya kuwataka X wangu ,Sasa kuna X wangu kaomba turudiane then akaanza kunisimulia jinsi huyo rafiki angu alivyokua anamtaka huyo X wangu hadi kufikia kuanza kuniponda mimi na nlishaona msg alizokua anamtongoza ,najua demu tulishaachana lakini ni sawa kwa rafiki ako wa karibu kuamua kutoka na shemeji yake????