sirluta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2012
- 6,325
- 2,487
Wasalaam wanabodi,
Leo nimesikia magazeti yakiripoti kuwa wanawake nao wachangamkia supu ya pweza.
Supu ya pweza inaaminika kuamsha hisia za tendo la ndoa kwa mwanaume ambaye nguvu hizo zipo chini. Sasa kwa wanawake nayo ni ya nini? Tujuzeni maana naona kila kitu mnatuiga!