sitaki raha
Senior Member
- Jun 8, 2016
- 127
- 112
Daaaah kweli dunia ni sehemu ya kupita tu ww Cheka na watu utawasaidia kwa kila kitu ukiishishiwa wanakucheka?kuna Dada rafiki yng kipenzi ni mke wa mtu huyu Dada hakuna ambacho alikuwa hakosi maaan Mume wake alikuwa na hela balaaaa za Dada alifanya kila starehe na marafiki zake mtaaani wakawa wanamuita mama wa sifa harusi zote lzm achangie harambeeee lzm aitwe na kupewa mwenyekiti anatoa hela ilikuwa inaniumaaa sanaaaa .hebu jiulize anatoka moshi kwenda arusha kusafisha kucha au kusuka nilimshauri kuhusu hiyo tabia yake akaniambia hakuna ambae unaweza kusuka vizuri au kuosha kucha unaenda kuosha kucha arusha unaweka mafuta 40000 kwenda kuosha kucha tu alikuwa anielewi kabsa.amefanya biashahar zote kwanza aliuza duka la nguo na m.pesa akafunga akaweka duka la chupi nalo akafunga akaweka duka chakula nalo akafunga.akaweka duka vinywaji vya jumla akafunga .akaweka pub akafunga wala Mume wake ajawahi kumuuliza wala kumfatilia kwa lolote lile .account ina hela ya kutosha mke anachukua hela anayotoka Mume wala hajawahi kumuuliza gari anabadilisha kila aina daaaah ss mambo ya Mume yamenda vibaya hali sio hali kipindi hiki cha magu mke alikuwa amfatili Mume wake ss hela imekta mke ss ameanZ kumfatilia Mume wake wake amegundua ana mke nje na mtoto mke anaanz kulalamika eti hela yote amekupewa yule Dada hakumbuki amechezea hela sanaaa.hali imekuwa mbayaaa sanaaa gari zimeuzwa zote daaaah maelewano hakuna kwny ndoa Dada anataka kuachana na Mume wake kisa amezaaaa nje ss anajifungia ndani anadaiwa balaaaa watu wanamcheka sanaaa mm nilimshauri hiyo hela anayochezeee na kufany starehe kwann asinunue kiwanja ajenge nyumba ss hana kitu zile kampani hana tenaaaa mafuta yake ya kupaka ilikuwa laki na nusu ss hana uwezo tenaaa namuoneee huruma maaan nilimshauri Sana'a hakutaka kunickiliza .hebu wanawake unapokuwa na hela heshimu hela ww ndo kichwa cha familia unapokosea ww na Mume wako anapotea ungetunza Mali za Mume wako yote haya yasingetokea unanzan hela hizi zitakuwa za milele.